TFS WAKABIDHI MIZINGA YA NYUKI YA KISASA 300 RUFIJI
Na Mwandishi wetu, Rufiji
WAKALA wa misitu Tanzania (TFS) wa Wilaya ya Rufiji wamekabidhi mizinga ya nyuki ya kisasa 300 kwa Waziri wa nchi...
MHANDISI KUNDO AIPONGEZA RUWASA KWA KUPELEKA HUDUMA BORA YA MAJI VIJIJINI.
Na Mwandishi wetu,Dodoma
NAIBU Waziri wa Maji,Mhandisi Kundo Mathew ameipongeza Mamlaka ya Usambazaji Maji Vijijini (RUWASA) kwa mchango wao mkubwa kwenye mapinduzi ya huduma...
RC CHALAMILA AKUTANA NA WAMILIKI WA VIWANDA VYA SARUJI NA NONDO
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo April 22, 2024 amekutana na wafanyabishara wanaomiliki viwanda vya...
KILO 767.2 ZA MADAWA YA KULEVYA ZAKAMATWA
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Madawa za Kulevya (DCEA) imefanya operesheni na kufanikiwa kukamata jumla ya kilo 767.2 za...
RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA NA MABALOZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania Nchi za Nje kwa njia ya Mtandao (Video...
TANZANIA YAONGOZA SIMBA,NYATI NA CHUI BARANI AFRIKA
Na John Mapepele
SERIKALI imesema Tanzania inaongoza kwa kuwa na Simba, Nyati na Chui wengi katika bara la Afrika huku ikishirikilia nafasi ya tatu kwa...
DK NCHIMBI: TUTAWAENZI WAASISI KWA KUENDELEZA UTUMISHI KWA WATU
Na Mwandishi wetu, Ruvuma
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amezuru kaburi la Hayati Mzee Constantine Osward...
WAZIRI MKUU AONYA KUHUSU RUSHWA KITEGA UCHUMI CHA STENDI YA KANGE
Na Mwandishi wetu, Tanga
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameonya viongozi wanaogawa maeneo kwenye kitega uchumi kipya cha Dk. Samia Suluhu Hassan Business Centre kilichopo stendi...
WAZIRI MKUU AAGIZA TAARIFA MAALUM YA UDHIBITI WA UVUVI HARAMU
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza taarifa maalum ya udhibiti wa vitendo vya uvuvi haramu iwasilishwe kabla ya Wizara ya...
MZEE MALECELA NI HAZINA YA MAARIFA NA UZALENDO-DK.MWINYI
Na Mwandishi wetu, Dodoma
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Viongozi na Watanzania wanajifunza mengi kutokana...