KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2025 KUADHIMISHWA KIPEKEE.
๐Dk. Samia Suluhu Hassan kielelezo cha kukuza usawa na uwezeshaji wanawake nchini.
๐Serikali kuendelea kupambana na vitendo vya ukatili nchini dhidi ya Wanawake.
๐Wanaume mstari mbele...
RAIS DK.SAMIA: MAHAKAMA YA TANZANIA ITAKUWA NA MCHANGO MKUBWA KUIWEZESHA TANZANIA KUFIKIA...
Dodoma
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Mahakama ya Tanzania itakuwa na mchango mkubwa katika kuiwezesha Tanzania kufikia malengo yake ya maendeleo kama yatakayobainishwa...
AZMA YA SERIKALI NI KUHAKIKISHA WANANCHI WANAPATA UMEME WA UHAKIKA WAKATI WOTE- MHE. KAPINGA
๐ Serikali yafuatilia kwa karibu upatikanaji umeme Lushoto
๐ Vijiji vyote Nkasi vyafikiwa na huduma ya umeme
Dodoma
NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema ni...
WATENDAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WALEDI
Tanga
WATENDAJI wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Tanga na Pwani wametakiwa kufanya kazi kwa weledi, bidii na moyo wa kujituma...
WANAJESHI WAWILI WA JWTZ WAFARIKI DUNIA DRC
Dodoma
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema kuwa limewapoteza Askari wake wawili (02) na wengine wanne (04) wamejeruhiwa Kufuatia mashambulizi ya...
DK. MASIKA ARIDHISHWA UTEKELEZAJI MRADI WA MEMBE
Dodoma
MWENYEKITI Bodi ya Uongozi Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Dk. Richard Masika amekiri kuridhishwa na hatua zinazofanywa na Tume katika utekelezaji miradi ya...
SERIKALI KUPITIA UPYA MASILAHI YA WALIMU.
Dodoma
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan Ameitaka Wizara ya Fedha, Wizara ya Mipango na Uwekezaji, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Ofisi...
TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA 19 JUKWAA LA KOROSHO AFRIKA 2025
Dar es salaam
TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 19 wa Mwaka wa Jukwaa la Korosho Afrika 2025 wenye lengo la kuonesha fursa za...
KUUNGANISHA UMEME MAENEO YA VIJIJI NI ELFU 27 โ KAPINGA
๐ Asema kuunganisha umeme maeneo ya Vijiji Mji ni shilingi 320.960/-
๐ Kapinga asema maeneo ya Kerwa umeme umeshafika Makao Makuu ya Vijiji
Dodoma
NAIBU Waziri...
UONGOZI WA MKOA WA DAR ES SALAAM UNATARAJIA KUFANYA MAZUNGUMZO TRC KUJENGA RELI YA...
Dar es Salaam
UONGOZI wa mkoa wa Dar es Salaam unatarajia kufanya mazungumzo na Shirika la Reli nchini (TRC) ili kuangalia kama kutakuwa na...