MJADALA BAJETI WIZARA YA NISHATI UNAENDELEA BUNGENI ASUBUHI HII
MJADALA wa Bajeti ya Wizara ya Nishati unaendelea asubuhi hii bungeni Jijini Dodoma katika Mkutano wa Kumi na Tano Kikao cha Kumi na Nne
Mjadala...
UNICEF WAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA SHULE KWA WANAFUNZI NA WALIMU KWA SHULE ZILIZOATHIRIKA...
Na Scolastica Msewa, Rufiji
SHIRIKA la Kimataifa la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) limetoa msaada wa vifaa vya Shule za msingi na sekondari zilizoathirika na...
DK.NATU AWAPOGEZA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA FEDHA NA TAASISI ZAKE
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
KATIBU Mkuu Wizara ya Fedha Dk. Natu Mwamba amewapongeza wafanyakazi wa wizara hiyo na Taasisi zake kwa kujisimamia vyema katika...
CHAMWALI AMEISHAURI SERIKALI KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU UWEKEZAJI
Na Sophia Kingimali@Lajiji Digital
MHADHIRI wa Chuo Kikuu Mzumbe, Lihoya Chamwali ameishauri serikali kutoa elimu kwa wananchi kuhusu maswala ya uwekezaji kwani elimu hiyo...
PROFESA MKENDA AMETOA RAI KWA WALIMU WA KUU NCHINI KUPOKEA WANAFUNZI WANAOTOKA KWENYE...
Na Sophia Kingimali@lajiji Digital
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ametoa rai kwa walimu wakuu nchini kupokea watoto wanaopelekwa kwenye shule...
WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU...
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk. Stergomena Lawrence Tax, Aprili 22, 2024 amekutana na kufanya mazungumzo...
PROFESA IKINGURA AONGOZA KIKAO CHA 18 BODI YA GST
Na Mwandishi wetu, Dodoma
MWENYEKITI wa Bodi ya Taasisi ya Jiolojia ya Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Profesa Justinian Ikingura amekiongoza Kikao cha...
TAWA YAPOKEA MELI YA WATALII ZAIDI YA 200 KILWA KISIWANI
Na Beatus Maganja
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA ) leo Aprili 24, 2024 imepokea meli ya watalii wapatao 230 kutoka Mataifa mbalimbali Duniani...
WAZIRI MAVUNDE AWATAKA WATUMISHI GST KUCHAPA KAZI
GST kujenga Maabara ya Kisasa jijini Dodoma
GST ni Moyo wa Sekta ya Madini
Kufanya Utafiti wa kina kufikia asilimia 50
Na Mwandishi wetu, Dodoma
WAZIRI wa Madini,...
”KILA LA HERI, KAZI NJEMA”
Na Mwandishi wetu, Ruvuma
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akipunga mkono kuwaaga mamia ya wananchi, walioongozwa...