WAJASIRILIAMALI WAIOMBA SERIKALI KUWAPATIA ELIMU YA UJASIRIAMALI

NA JOSEPHINE MAJULA, TABORA WAJASIRIAMALI wa Kata ya Tutuo, Wilaya ya Sikonge Mkoa wa Tabora, wameiomba Serikali kuwapatia elimu ya ujasiriamali ili waweze kuzalisha...

SERIKALI INAKIONGEZEA UWEZO KITUO CHA KUPOZA UMEME MBAGALA- KAPINGA

📌 Lengo ni kuondoa changamoto ya kukatika umeme Mbagala 📌 Asema mradi wa kupeleka umeme eneo la Kitume - Bagamoyo wafikia asilimia 57 Dodoma NAIBU Waziri...

WEKENI BEI NAFUU YA GESI KWA WANANCHI -DK.MWINYI

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi ameyaomba makampuni ya gesi kutafuta namna ya kuwezesha kupatikana gesi...

RAIS SAMIA KUONGOZA VIKAO VYA KAMATI KUU NA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuongoza Vikao Vya Uongozi wa...

MAHIMBALI ASISITIZA GST KUWAFIKIA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI NCHINI

Dodoma KATIBU Mkuu Wizara ya Madini, Kheri Mahimbali ameiagiza Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kupanua wigo wa huduma zake ili...

MADINI, TAMISEMI PITIENI SHERIA NDOGO KUONDOA USUMBUFU KWA WACHIMBAJI WADOGO-MAJALIWA

Asema Milango Imefunguliwa kwa Kila Mmoja Kushiriki uchumi wa Madini Waziri Mavunde Asisitiza Ununuzi wa Helcopter kwa ajili ya Utafiti wa Kina Dodoma WAZIRI Mkuu wa Jamhuri...

KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI AKUTANA NA UJUMBE WA UMOJA WA ULAYA (EU)

📌 Wajadili Mradi wa Maboresho Sekta ya Nishati (Energy Sector Reform Programme) 📌 Serikali yaeleza ilivyotimiza masharti ya EU ili kupata fedha za Maboresho ya...

WAZIRI MKUU AZINDUA VITABU VYA HISTORIA YA BUNGE

Dodoma WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezindua vitabu vya historia ya Bunge ambavyo vitasaidia kuhamasisha tafiti na kujua zaidi kuhusu mchango wa Bunge katika maendeleo...

RAIS DK.SAMIA ATOA MHADHARA WENYE MADA YA FALSAFA YA R NNE(4RS)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan akipokelewa kwa heshima na Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa...

KAMATI YA BUNGE YA PAC YAPIGWA MSASA

📌 Ni kuhusu miradi inayotekelezwa na wizara kupitia TPDC 📌 DKt Biteko afungua rasmi, aishukuru PAC kwa mchango wao sekta ya Nishati 📌 Waitaka TPDC kuwekeza...