RAIS DK.MWINYI AHIMIZA KUHIFADHI QURAN NA KUFUNDISHA
Na Mwandishi wetu
RAIS na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Waumini wa Dini ya kiislamu kuendelea kuhifadhi Quran...
MIRADI YA BARABARA YAFIKIA ASILIMIA 75 HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA- TARURA
Na Mwandishi wetu Singida
UTELEKEZAJI wa miradi ya barabara katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida upo hali nzuri kwa asilimia 75 ya miradi yote...
DC SHAKA AWASHA MOTO UJENZI WA ICU KILOSA
DC SHAKA AWASHA MOTO UJENZI WA ICU KILOSA
Agiza vyombo vya Usalama kufanya uchunguzi wa haraka
Aunda kamati kusimamia ujenzi ili wananchi wapate huduma.
Na Mwandishi Wetu
MKUU...
DK. NCHIMBI ASISITIZA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA NI MAISHA YA WATU
Na Mwandishi wetu
KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amesema uamuzi wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya...
MATINYI AMESEMA UCHUMI WA TANZANIA UMEENDELEA KUKUA LICHA YA ATHARI KUBWA ZA UVIKO-19
Na Mwandishi wetu
Mkurugenzi wa Idara ya HabariMaelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema uchumi wa Tanzania umeendelea kukua licha ya athari...
RAIS Dk. SAMIA AKUTANA NA WAZIRI IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Dar es Salaam Machi, 24...
RAIS SAMIA ASIKIA KILIO CHA WACHIMBAJI WADOGO SONGWE, LESENI 37 ZA UCHIMBAJI MADINI ZATOLEWA
Na Mwandishi wetu, SONGWE
_Kunufaisha zaidi ya wachimbaji 5000
-Wamshukuru Rais Samia kwa kuwaendeleza wachimbaji wadogo
_Waziri Mavunde awataka wachimbaji kuongeza uzalishaji baada ya kupata Leseni
_Kwasasa...
MTUHUMIWA WA MAUJI YA MKEWE KILOSA AKAMWATWA
Na Mwandishi wetu
JESHI la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mohamedi Omari mkazi wa kijiji cha Kimamba A, wilayani...
RC MTANDA AWAITA WAFANYABIASHARA WAWEKEZAJI KUWEKEZA MKOA WA MARA
Na Shomari Binda, Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Said Muhamed Mtanda amewaita wafanyabiashara na wawekezaji kuwekeza mkoa wa Mara kwani ni salama na una...
DK. BITEKO AAGIZA WIZARA YA MAJI KUHAKIKISHA WANANCHI WANAPATA MAJI SAFI NA SALAMA
📌 Asisitiza Wananchi kutoa maoni utunzaji wa mazingira katika Dira 2050
📌 Ataka Bodi za Mabonde ya Maji/NEMC kudhibiti uchafuzi wa mazingira
📌 Uvunaji wa Maji...