Rais Dk.Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Dar es Salaam leo ...

watumishi wa nishati watoa elimu ya nishati safi.

Na Mwandishi wetu,Dodoma WANAWAKE wa Wizara ya Nishati, wameungana na wanawake wenzao dunia kuadhimisha siku ya wanawake ambayo Mkoani Dodoma imeadhimishwa wilayani Chamwino. Katika madhimisho...

profesa Mkenda mtaala mpya wa mafunzo umeanza kutumika mwaka huu.

Na Mwandishi wetu Waziri wa elimu,sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mtaala mpya wa mafunzo imeaanza kutumika mwaka huu ngazi ya shule...

WANAWAKE TARURA WATEMBELEA GEREZA LA WANAWAKE ISANGA

Na Mwandishi wetu, Dodoma WATUMISHI wanawake wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wamepongezwa kwa kuwawezesha wanawake wenzao waliopo kwenye gereza la wanawake...

Rais Dk.Mwinyi Atoa Shukurani.

Na Mwandishi wetu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj. Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa shukrani kwa Wakuu wa Mikoa...

Matumizi ya Nishati safi ya kupikia yameanza rasmi Dk. Biteko

Na Mwandishi wetu 📌Agawa mitungi ya Gesi na Majiko Banifu kwa Wajasiriamali Dar es Salaam 📌 Ataka Taasisi kuachana matumizi ya kuni na mkaa 📌 Ahimiza...

wananchi kutembelea banda la Wizara ya Fedha ili kupata elimu.

Na Josephine Majura na Asia Singano WF - Dodoma Wizara ya Fedha imewataka wananchi wa mkoa wa Dodoma kutembelea Banda la Wizara hiyo ili kupata...

Bdi ya Tawa yahimiza maofisa wake kuongeza umahiri ili kuendana na kasi ya uwekezaji...

Na Mwandishi wetu, Serengeti. MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Meja Jenerali Mstaafu, Hamis Semfuko amewataka Maofisa...

Dk. Biteko kikao kazi ngazi ya mawaziri

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akiongoza kikao kazi ngazi ya Mawaziri kuhusu uendelezaji wa Bandari nchini. Kikao kazi hicho...

Dk.Gwajima amesema taasisi mbalimbali nchini kuendelea kuwekeza kwa wanawake

Na Mwandishi wetu WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima ametoa rai kwa taasisi mbalimbali nchini kuendelea kuwekeza...