DC SAME AMEWATAKA WANANCHI NA WAUMINI WA DINI KIKRISTO KUSHEHEKEA PASAKA KWA AMANI NA...

Na Mwandishi wetu, Same MKUU wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewataka Wananchi na Waumini wa dini ya Kikristo kusherehekea Sikukuu ya...

BAADA YA UKAGUZI KIDATU, DKT. BITEKO ATUA KITUO CHA KUPOZA UMEME CHA ZUZU DODOMA.

Na Mwandishi wetu, Dodoma BAADA ya ukaguzi wa matengenezo ya mitambo ya umeme Kidatu Mkoani Morogoro leo Aprili, 1 2024 Naibu Waziri Mkuu na...

DKT. BITEKO AHANI MSIBA WA MKE WA MZEE GACHUMA

Na Mwandishi wetu, Mara NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko Machi, 31 2024 amefika kijijini Komaswa, wilayani Tarime mkoani Mara...

MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA ASKOFU WA NLGCC

Na Mwandishi wetu, Mara WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa Machi 30 2024 alimuwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya Askofu wa kanisa La New...

TARURA DODOMA YAPUNGUZA BARABARA ZENYE HALI MBAYA KWA ASILIMIA 60

*Bajeti yaongezeka mara tatu Na Mwandishi wetu, Dodoma MIUNDOMBINU ya usafirishaji inazidi kuimarika ndani ya Mkoa wa Dodoma ambapo umeweza kupunguza wastani wa asilimia 60 za...

TUISOME KWA WINGI QURAN TUKUFU-DK.MWINYI

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Waumini wa Dini ya kiislamu...

CHATANDA ATEMBELEA FAMILIA YA BOGOHE MWASISI WA UWT PAMOJA NA CCM MWANZA.

Na Mwandishi wetu, Mwanza MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda amefika Kisesa wilaya ya Magu mkoani Mwanza kumtembelea Mwasisi wa...

RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA WAZEE WA ACT-WAZALENDO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Wazee wa Chama cha ACT- Wazalendo, kikao hicho kilichofanyika Ikulu...

RAIS DK.MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA MKOA WA KUSINI PEMBA KATIKA FUTARI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba wakiwemo watu wenye...

RAIS DK. SAMIA AHIDI KUFANYIA KAZI RIPOTI YA CAG NA TAKUKURU.

Na Mwandishi wetu, Dodoma  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amepokea Ripoti ya Mdibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/2023 na...