DK. BITEKO AAGIZA WIZARA YA MAJI KUHAKIKISHA WANANCHI WANAPATA MAJI SAFI NA SALAMA
📌 Asisitiza Wananchi kutoa maoni utunzaji wa mazingira katika Dira 2050
📌 Ataka Bodi za Mabonde ya Maji/NEMC kudhibiti uchafuzi wa mazingira
📌 Uvunaji wa Maji...
HAMAS WAVAMIA TENA HOSPITALI YA AL-SHIFA-JESHI LA ISRAEL.
Na Mwandishi wetu
MIEZI minne baada ya wanajeshi wa Israel kuvamia hospitali kubwa zaidi ya Gaza, al-Shifa, wakidai kuwa ni kificho cha kamandi ya...
WAKULIMA WA ZAO LA PAMBA WILAYANI BARIADI MKOANI SIMIYU WAPONGEZA MRADI WA BBT KATIKA...
NA Mwandishi wetu, Bariadi
WAKULIMA wa zao la Pamba Bariadi mkoani Simiyu wameipongeza Serikali kwa kuwaletea vijana wa Mradi wa Jenga kesho iliyo Bora...
WATU ZAIDI YA 1400 WAMEATHIRIKA NA MAFURIKO KILOSA
Na Mwandishi wetu, Kilosa
Jumla ya watu 1404 wameathirika na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha katika Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro na nyumba 351 zimeingia...
ZARI THE BOSS LADY KESHO ANATARAJIA KUTOA MSAADA HOSPITALI
MPENZi wa zamani wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Zarina Hassan maarufu The Boss Lady, anatarajiwa kutoa msaada kwa wanawake waliojifungua kwenye Hospitali...
MAKAMU WA RAIS , AITAKA WIZARA YA MALIASILI KUFANYA TAFITI ZA KUZUIA UHARIBIFU WA...
Na John Bera, SAME
MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Taasisi zake kushirikiana na Taasisi zingine zinazohusika katika...
DKT. NCHEMBA ATETA NA WAZIRI WA VIWANDA
WAZIRI Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba akizungumza jambo wakati wa mkutano wake na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk.Ashatu Kijaji ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya kuendeleza sekta...
COMBINATION 49 ZAONGEZWA KIDATO CHA TANO
Na Esther Mnyika
Serikali imezindua mfumo wa kufanya mabadiliko ya tahasusi za kidato cha tano na kozi za vyuo kwa njia ya mtandao kwenye...
UJERUMANI YAAHIDI KUSAIDIA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI
Na Mwandishi wetu
Na Esther Mnyika Mtanzania Digital
Tanzania na Ujerumani zimesaini Makubaliano ya ahadi ya msaada wa kiasi cha euro milioni 70 sawa na...
WAZIRI MAKAMBA AMESEMA RAIS DK.SAMIA AMETANGAZA DIPLOMASIA MARA DUFU
Na Mwandishi wetu
WAziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki , January Makamba amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya mambo...