TUTAENDELEA KUJIIMARISHA KIUCHUMI-MAJALIWA

Ampongeza Rais Dk. Samia kwa kuendeleza mahusiiano ya Kimataifa Dodoma  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inajiimarisha katika kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali...

MGODI WA NDOLELA MWANGA MPYA KWA WANANCHI

• Waanza ujenzi wa Zahanati kuondoa kero kwa wananchi • Wasaidia upatikanaji wa urahisi wa kokoto katika marekebisho ya ujenzi wa barabara ya Iringa, Dodoma Iringa MGODI...

WANANCHI WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA MIRADI KUUNGANISHA UMEME – KAPINGA

📌 Lengo ni wananchi kuepuka gharama inayotokana na kuunganisha umeme wakati miradi imekamilika Dodoma NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa rai kwa wananchi...

RAIS DK.SAMIA : DUNIA IMETAMBUA JITIHADA ZA TANZANIA KATIKA SEKTA YA AFYA

Dodoma MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa Tuzo Maalum ya Kimataifa...

MAPOKEZI YA RAIS DK.SAMIA DODOMA NA TUZO YA GATES

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewasili na kupokelewa na Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi kwenye uwanja wa ndege...

DK.MWINYI AWASILI DODOMA

Dodoma MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili Dodoma kuhudhuria Kilele cha...

UTENDAJI KAZI KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA TANESCO WAMKWAZA DK. BITEKO

📌 Amuagiza Mkurugenzi Mtendaji TANESCO kumchukulia hatua mtaalam aliyemfokea mteja 📌 Ataka Mpango Mahsusi wa Nishati uliosainiwa katika Mkutano wa Mission 300 kupewa kipaumbele 📌 PURA,...

WAJITEKA NA KUDAI PESA KUTOKA KWA WAZAZI WAO

Dar es Salaam JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limefanikiwa kuwakamata wasichana wawili kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo baada ya...

BAADA YA KUMALIZA KAZI YA KUPELEKA UMEME VIJIJINI SASA KASI INAHAMIA VITONGOJINI – KAPINGA

📌 Asema upelekaji umeme vitongojini umefikia asilimia 52.3 📌 Asisitiza umeme kufika maeneo ya uchimbaji madini Dodoma NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa...

MAGARI 150 YA ZIMAMOTO YANUNULIWA NA KUSAMBAZWA NCHI NZIMA: BASHUGWA

Dodoma WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali inaendelea kuliimarisha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kulipatia vitendea kazi...