Rais Dk.Mwinyi ajifunza mengi kutoka kwa Hayati Mzee Mwinyi
Na Mwandishi wetu, Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ametaja baadhi ya mambo aliyojifunza kutoka kwa...
Cuba na Tanzania kuimarisha ushirikiano katika maeneo ya kimkakati
Na Mwandishi wetu
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Cuba, nchini...
Kinana Rais Dk.Samia anadhamira ya dhati kufanikisha uchaguzi huru na wa haki
Na Mwandishi wetu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewahakikishia Watanzania kuwa serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Dkt. Samia...
Rais Dk.Samia kuanza kusikiliza kero za mwananchi mmojammoja
RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajia kuanza kukutana na wananchi na kusikiliza kero zao lengo likiwa ni kumuenzi kwa vitendo Hayat Rais Ali Hassan Mwinyi...
Matokeo ya Royal Tour ya dhihirika Kilwa,Wimbi la watalii wa nje lazidi kuonezeka
Na Beatus Maganja, Kilwa
KAZI ya kutangaza Utalii wa Nchi yetu iliyofanywa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kupitia filamu ya Tanzania "The Royal...
Dk.Mataragio apishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Nishati
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dk. James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati kwenye...
RAIS DK. MWINYI APOKEA SALAMU ZA POLE KUTOKA KWA MASAUNI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Ikulu Migombani kutoka kwa...
Rais Dk.samia afungua mkutano wa Mawaziri wa sheria
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Sheria wa Nchi Wanachama...