profesa Mkenda mtaala mpya wa mafunzo umeanza kutumika mwaka huu.
Na Mwandishi wetu
Waziri wa elimu,sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mtaala mpya wa mafunzo imeaanza kutumika mwaka huu ngazi ya shule...
WANAWAKE TARURA WATEMBELEA GEREZA LA WANAWAKE ISANGA
Na Mwandishi wetu, Dodoma
WATUMISHI wanawake wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wamepongezwa kwa kuwawezesha wanawake wenzao waliopo kwenye gereza la wanawake...
Rais Dk.Mwinyi Atoa Shukurani.
Na Mwandishi wetu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj. Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa shukrani kwa Wakuu wa Mikoa...
Matumizi ya Nishati safi ya kupikia yameanza rasmi Dk. Biteko
Na Mwandishi wetu
📌Agawa mitungi ya Gesi na Majiko Banifu kwa Wajasiriamali Dar es Salaam
📌 Ataka Taasisi kuachana matumizi ya kuni na mkaa
📌 Ahimiza...
wananchi kutembelea banda la Wizara ya Fedha ili kupata elimu.
Na Josephine Majura na Asia Singano WF - Dodoma
Wizara ya Fedha imewataka wananchi wa mkoa wa Dodoma kutembelea Banda la Wizara hiyo ili kupata...
Bdi ya Tawa yahimiza maofisa wake kuongeza umahiri ili kuendana na kasi ya uwekezaji...
Na Mwandishi wetu, Serengeti.
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Meja Jenerali Mstaafu, Hamis Semfuko amewataka Maofisa...
Dk. Biteko kikao kazi ngazi ya mawaziri
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akiongoza kikao kazi ngazi ya Mawaziri kuhusu uendelezaji wa Bandari nchini.
Kikao kazi hicho...
Dk.Gwajima amesema taasisi mbalimbali nchini kuendelea kuwekeza kwa wanawake
Na Mwandishi wetu
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima ametoa rai kwa taasisi mbalimbali nchini kuendelea kuwekeza...
FCS yapongeza miaka mitatu ya Rais Dk.Samia ukuaji wa demokrasia
Na Mwandishi wetu
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Asasi za Kiraia Nchini (FCS )anayemaliza muda wake wa uongozi Francis Kiwanga, amesema Shirika hilo linajivunia...
Nchimbi Marekani ni rafiki zetu
Na Mwandishi wetu,
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema dhamira ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni...