Rais Dk.Samia aandaa futari kwa viongozi mbalimbali
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Komredi Abdulrahman Kinana, akisalimiana na kuzungumza jambo na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk. Emmanuel ...
FCC YAZINDUA MAADHIMISHO SIKU YA KUMLINDA MLAJI DUNIANI
Na Mwandishi wetu
TUME ya Taifa ya Ushindani Nchini (FCC) imezindua rasmi Maadhimisho ya Siku ya Kumlinda Mlaji Duniani ambayo imelenga kutoa elimu ya...
RAIS DK.MWINYI ASHUKURU KWA DUA NA KHITMA ZA HAYATI MZEE MWINYI.
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewashukuru kwa niaba ya familia Waumini...
WAVUVI WA PWEZA MKINGA WACHEKELEA KUVUA TANI 2.5 KWA SIKU, MWAMBAO,NORAD WAAHIDI NEEMA ZAIDI.
Na Boniface Gideon, MKINGA
WAVUVI wa Samaki aina ya Pweza kutoka Vijiji vya Boma Kichakamiba,Boma Subutuni na Moa wameweka historia baada ya kuvua Kilogram.2284...
RAIS DK.SAMIA HATAKI MISUKOSUKO KWA WAFANYABIASHARA
Ataka Watendaji Warasimu wajionee aibu;watimize wajibu
📌 Watumishi wakumbushwa shughuli za Serikali kufanyika Dodoma
Na Mwandishi wetu, Dodoma
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,...
DKT. MPANGO AMUAGIZA WAZIRI WA FEDHA KUPITIA KODI YA MAJIKO
Na Josephine Majura na Asia Singano WF Dodoma
MAKAMU wa Rais wa Dk. Philip Isdor Mpango amemuagiza Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba kuangalia uwezekano...
Ujenzi wa Barabara ya Kimara, Bonyokwa na Kinyerezi umeanza utakamilika kwa miezi 16.
Na Mwandishi wetu
MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam,Albert Chalamila amemtaka mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Kimara...
Balozi Dk. Nchimbi tuwekeze kwa wanawake kwa maendeleo ya Taifa
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi ametoa wito kwa jamii ya Kitanzania kuendelea na jitihada...
Wanawake mtembee na Rais Dk.Samia hadi mitano tena 2025
Na Shomari Binda, Bunda
MKUU wa mkoa wa Mara Said Mtanda ametoa wito kwa wanawake wa mkoa wa Mara na nchi nzima kumuunga mkono Rais...
Majaliwa akutana na Balozi wa Qatar nchini
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa Qatar nchini Fahad Rashid Al Muraikhi, pia amepokea salamu za pole ya Rais Mstaafu wa awamu...