USHIRIKIANO WA KIMKAKATI
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ameainisha maeneo manne ya kimkakati Tanzania itakayoshirikiana na nchi ya Somalia ikiwemo katika masuala ya...
WAMI RUVU HAWANA DENI LA RAIS SAMIA KATIKA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI.
Na Mwandishi wetu,Morogoro
BODI ya Maji Bonde la Wami Ruvu limeendelea kuchukua hatua stahiki katika kuhakikisha inatekeleza agizo la Makamu wa Rais wa Jamhuri...
WAZIRI JAFFO AHIMIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Na Mwandishi wetu, Arusha
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Dk.Selemeni Jafo amesema takwimu zinaonesha watu milioni nne barani Afrika...
RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA BALOZI WA SAUDIA ARABIA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Saudia Arabia nchini Tanzania, Mhe.Yahya bin Ahmed Okeish...
SERIKALI ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA SHULE BINAFSI- DKT. BITEKO
📌Azitaka Wizara za Elimu, Fedha, Uwekezaji, Ardhi na TAMISEMI kukutana na Wadau wa Elimu
📌Shule Binafsi zizingatie maadili ya Mtanzania na Miongozo Iliyowekwa
Na Mwandishi wetu@Lajiji...
RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS DK. MOHAMUD
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo ya pamoja na Mgeni wake Rais wa Shirikisho...
TANROADS YAENDELEA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA GONGOLAMBOTO JIJINI DAR ES SALAAM
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
WAKALA wa Barabara Tanzania (TANROADS) imehakikisha utekelezaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka barabara ya Nyerere hadi Gongo la mboto...
TFS YATETA NA MABALOZI WANAOIWAKILISHA TANZANIA YANADI FURSA LUKUKI ZA MISITU, NYUKI NA...
Na Mwandishi wetu, Pwani
WAHIFADHI wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wakitoa wasilisho la fursa za Uwekezaji zilizopo katika sekta ya Misitu,...
RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA RAIS WA COMORO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Rais wa Comoro, Azali Assoumani Ikulu Jijini Dar es Salaam...