RAIS DK.SAMIA AKIWA NA VIONGOZI MBALIMBALI KWENYE HAFLA YA KUTUNUKU NISHANI YA MIAKA 60...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa na Viongozi mbalimbali kwenye hafla ya kutunuku Nishani...

TARURA IMEJIPANGA KUBORESHA MTANDAO WA BARABARA

Arusha WAKALA ya Barabara za Vijijini na Mjini (TARURA) imejipanga kuboresha mtandao wake wa barabara kwa kuziwekea lami na nyingine changarawe kwa viwango ambavyo zitadumu...

SERIKALI KUENDELEZA MJADALA NA KAMPUNI ZA NISHATI ZA KIMATAIFA.

Dodoma. SERIKALI inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa kwa ajili ya kutekeleza Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia ili kuwa kimiminika-LNG...

TOENI TAARIFA ZA BIDHAA ZISIZO RASMI – MAJALIWA

Dodoma WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania watoe taarifa kwa mamlaka husika pindi wanapokuta kuna bidhaa zisizo rasmi zimeagizwa kutoka nje, zinazalishwa au zinasambazwa...

SERIKALI INATOA MSAMAHA WA KODI KWA VYOMBO ULINZI NA USALAMA

Saidina Msangi, na Josephine Majula, Dodoma. SERIKALI imeeleza kuwa kwa kutambua umuhimu wa suala la ulinzi na usalama wa nchi imekuwa ikitoa msamaha wa kodi...

DK.BITEKO AWASILI NCHINI KENYA KWA ZIARA YA KIKAZI

Kenya NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko leo amewasili jijini Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Pili wa Masuala...

RAIS DK.SAMIA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA WENYEVITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Viongozi mbalimbali kabla ya kufungua Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na...

RAIS DK. SAMIA AREJEA NCHINI, AWASILI NA KUPOKELEWA UWANJA WA NDEGE KIA – KILIMANJARO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) mkoani Kilimanjaro tayari...

REA YAWAPONGEZA/YAWASHUKURU WARATIBU WA MIRADI YA NISHATI VIJIJINI

Dodoma WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umewapongeza na kuwashukuru Waratibu wa Miradi ya Nishati vijijini kwa uzalendo na juhudi zao zilizowezesha mradi wa kupeleka...

KAPINGA AELEZA JUHUDI ZA SERIKALI KUSAMBAZA VITUO VYA CNG NCHINI

📌 Azungumzia suala la magari ya Serikali kufungwa mfumo wa CNG Dodoma NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kwa mwaka wa fedha 2024/2025...