UTEKELEZAJI SERA YA JINSIA NA MAENDELEO YA WANAWAKE, WAJASIRIAMALI 675 WAWEZESHWA MASHINE
Na Mwandishi wetu, Dar Es Salaam
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dk. Dorothy Gwajima amepokea msaada wa Vyerehani 425...
UTOAJI WA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI UMEFANIKIWA KWA ASILIMIA 95
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
UTOAJI wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi inayotolewa bure kwa wasichana kuanzia miaka 9 hadi 14 kwa dozi...
RAIS DK.SAMIA KWENYE MKUTANO WA IDA NAIROBI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mawaziri wa Kenya Musalia Mudavadi mara baada ya kuwasili katika...
MIRADI YA KIMKAKATI ITUMIKE KUKUZA UCHUMI WA NDANI DK. BITEKO
📌Awataka Watanzania kuwa waaminifu
📌Asisitiza ushiriki wa makampuni ya Kitanzania kuongezeka
📌Apongeza Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kukuza ushiriki wa Watanzania kwenye shughuli za...
TIC IMEKUWA INJINI KUTEKELEZA MAONO YA RAIS DKT. SAMIA – MAJALIWA.
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi na wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kuwa injini ya kutekeleza maono...
RAIS DK.SAMIA KUSHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege...
DKT. BITEKO ASISITIZA UMUHIMU WA ELIMU USALAMA MAHALI PA KAZI
📌Aipongeza OSHA kuboresha utendaji
📌Asema ufasinisi sio kuwindana, kutozana faini
📌Ahimiza hifadi ya mazingira kukabili mabadiliko ya tabianchi
Na Mwandishi wetu, Arusha
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri...
DK. NCHEMBA ASHIRIKI MKUTANO WA IDA21 JIJINI NAIROBI-KENYA
Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba akipokelewa na Waziri wa Fedha wa Kenya Profesa Njuguna Ndung’u, alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu...
DK.MWINYI APOKEA SALAMU ZA POLE KUTOKA KWA RAIS WA SOMALI
Na Mwandishi wetu,Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole kutokana na kifo cha...
KAMATI YA UONGOZI WA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA JULIUS NYERERE (JNHPP) WATEMBELEA MRADI...
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
Kamati ya Uongozi wa Mradi wa Julius Nyerere uliyochini ya Mwenyekiti Mhandisi Cyprian Luhemeja ambaye ni Katibu Mkuu Ofisi...