WIZARA YA FEDHA YASHIRIKI KIKAMILIFU SHEREHE ZA MEI MOSI DODOMA

Kamishna Msaidizi wa Idara ya Usimamizi wa Madeni Wizara ya Fedha, Omary Khama (wa pili kushoto mstari wa pili) na Kamishna wa Kitengo...

MAJALIWA SIKU YA MEI MOSI WAFANYAKAZI KUTAFAKARI NA KUTATHIMINI MALENGO WALIOJIWEKEA

Na Mwandishi wetu, Arusha WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) ambayo huadhimishwa kila mwaka ni siku maalum kwa ajili...

KICHEKO KWA WATUMISHI WA UMMA NA SEKTA BINAFSI

Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani GST yatoa Mshindi Na Mwandishi wetu, Arusha WATUMISHI wa Umma na Sekta Binafsi Duniani kote wameungana kwa pamoja kusheherekea...

CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MAZINGIRA WATEMBELEA MAKUYUNI WILDLIFE PARK

Na Mwandishi wetu, Arusha CHAMA Cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) leo April 30, 2024 wametembelea Makuyuni Wildlife Park iliyopo wilaya ya...

FCT TOENI MAAMUZI KWA HAKI

Na Esther Mnyika, @ Lajiji Digital KATIBU Tawala wa Mkoa wa Mkoa Dar es Salaam Dk. Toba Nguvila ameliagiza Baraza la Ushindani (FCT) kutoa...

NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA MEI MOSI-MAJALIWA

Na Mwandishi wetu, Arusha WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maandalizi ya maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) ambayo yatafanyika kitaifa...

WAKAZI 6,453 KUNUFAIKA NA CHANZO CHA MTO MNGAZI

Na Mwandishi wetu, Morogoro WAKAZI 6,453 wa vijiji vya Mngazi na Dakawa katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro wanatarajia kunufaika na mradi...

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NAIROBI-KENYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Viongozi mbalimbali wakati wa Wimbo wa Taifa wa Kenya pamoja na...

BENOITE AMEWAOMBA WAANDISHI WA HABARI NA WAHARIRI KUENDELEA KUHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI

Na Esther Mnyika, @Lajiji Digital MKURUGENZI Mkuu wa Kampuni ya Oryx Tanzania, Benoite Araman amewaomba waandishi habari na wahariri kuendelea kutoa elimu...