WAZIRI MKUU ASHIRIKI KAMPENI YA KITAIFA YA MAZOEZI YA WIZARA YA AFYA.
Aungana na wakazi Dar kufanya mazoezi
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameshiriki mazoezi ya pamoja ya kampeni ya kitaifa inayoratibiwa na Wizara...
CHATANDA: MIKOPO YA ASILIMIA 10% YA DKT SAMIA IWAFIKIE WALENGWA BILA KUPINDISHA
Na Mwandishi wetu, Dodoma
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania (UWT), Mary Chatanda (MCC) amezielekeza Halmashauri zote Nchini, kuhakikisha Mikopo ya...
WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA AZINDUA KITUO CHA AFYA BIHARAMULO
Na Mwandishi wetu, Biharamulo
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk. Stergomena Lawrence Tax, tarehe 03 Mei, 2024 amezindua Kituo cha...
TADB YATOA MAFUNZO KWA WATAALAM 52 KUTOKA BENKI WASHIRIKA NAMNA BORA YA KUTOA...
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetoa mafunzo kwa wataalam 52 kutoka Benki washirika kuhusu namna bora ya...
DK.YONAZI ATOA POLE KWA WAATHIRIKA WA MAAFA MOSHI
Na Mwandishi wetu, Kilimanjaro
KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dk. Jim Yonazi ametoa salamu za pole...
FCT YAAHIDI KUENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADAU KATIKA KUKUZA USHINDANI WA HAKI NA...
Na Mwandishi wetu, Mtwara
KATIBU Tawala wa Mkoa wa Mtwara, Bahati Geuzye, amesema Baraza la Ushindani (FCT) litaendelea kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wadau ili...
WAZIRI MKUU AONGOZA MATEMBEZI YA KUHAMASISHA UFANYAJI MAZOEZI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu (kushoto) wakishiriki katika matembezi ya kuhamasisha ufanyaji wa mazoezi ili kujikinga na magonjwa yasiyo...
TMA YATOA HALI YA MWENENDO WA KIMBUNGA CHA ” HIDAYA,
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Mei 4,2024 Jijini Dar es salaam inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga...
TBS IMEWATAKA WAFANYABIASHARA WA BIDHAA ZA VIPODOZI KUHAKIKISHA WANASAJILI BIDHAA HIZO
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wafanyabishara wa bidhaa za vipodozi kuhakikisha wanasajili bidhaa zao , kuthibitisha ubora wake pamoja...
BALOZI DK. NCHIMBI KAZI KUBWA ZA SAMIA ZINAIPA CCM UJASIRI
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi, amesema kazi kubwa inayofanywa na Rais Dk. Samia Suluhu...