BASHUNGWA APIGA KAMBI LINDI, KUHAKIKISHA BARABARA YA DAR – LINDI INAPITIKA NDANI YA SAA...
Na Mwandishi wetu, Lindi
WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu na kuwahakikishia wananchi, wasafiri na wasafirishaji kuwa ameweka kambi Mkoa wa Lindi kuhakikisha anasimamia...
MHANDISI KASHINDE; WAFANYAKAZI MIZANI JIEPUSHENI NA RUSHWA
Na Mwandishi wetu, Mwanza
MKURUGENZI wa Usalama na Mazingira Wizara ya Ujenzi Mhandisi Kashinde Musa amewaasa wafanyakazi wa mizani kujiepusha na vitendo vya rushwa ili...
WAZIRI MKUU: WAKUU WA MIKOA SIMAMIENI UTASHI WA RAIS SAMIA
Na Mwandishi wetu, Dodoma
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa nchini waakisi utashi wa kisiasa wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa...
RC CHONGOLO AIPA HEKO TANROADS//BIL 5.7 ZATOLEWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MIUNDOMBINU MKOANI SONGWE
Na Mwandishi wetu, Songwe
MKUU wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo ameipongeza timu ya wataalamu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kufanya kazi kwa...
MAWASILIANO YA BARABARA YA DAR – LINDI KUREJEA NDANI YA SAA 72 BASHUNGWA
Na Mwandishi wetu, Lindi
WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku...
CHADEMA WAMESHIRIKI KIKAMILIFU MCHAKATO WA KUTUNGA SHERIA MPYA YA UCHAGUZI
Na Mwandishi wetu, Dodoma
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amesema CHADEMA wameshirikishwa a kushiriki kikamilifu katika mchakato...
KIDATO CHA SITA WANATARAJIA KUANZA MTIHANI MEI, 6
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
JUMLA ya watahiniwa 113,504 wamesajiliwa kufanya mtihani wa kidato cha sita, kati yao watahiniwa wa shule ni 104,449 na wakujitegemea...
TANESCO IMENDESHA MJADALA KWA WANAFUNZI WA UDSM KWA KUWAJENGEA UELEWA WA MATUMIZI YA...
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO )Mkoa wa Kinondoni Kaskazini imeendesha mjadala na wasomi wa chuo kikuu wanaosomea fani ya uhandisi...
TANROADS KUREJESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA LINDI – DAR ES SALAAM
Na Mwandishi wetu, Mtwara
TIMU ya Watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Wakandarasi wanaendelea na kazi ya kurejesha miundombinu ya Barabara ya...
WAKUNGA ZINGATIENI WELEDI KWENYE UTOAJI WA HUDUMA – MAJALIWA
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wakunga na wataalamu wengine wa afya nchini kufanya kazi kwa weledi na kuongeza...