MAHIMBALI APOKEA TAARIFA MAANDALIZI WIKI YA MADINI KUTOKA FEMATA
Maonesho na Kongamano la Wachimbaji Madini kufanyika Dodoma Juni 2024
Na Mwandishi wetu, Dodoma
KATIBU Mkuu Wizara ya Madini, Kheri Mahimbali amekutana na kuzungumza...
UHAMIAJI TANGA YATOA ONYO KALI KWA MADALALI WA WAHAMIAJI HARAMU.
Na Boniface Gideon,TANGA
JESHI la Uhamiaji Mkoa wa Tanga limewaonya mawakala hasa watanzania wanaoji husisha na mtandao wa kuwaingiza wahamiaji haramu mkoani humo kuacha mara...
UBALOZI WA USWISI WASHIRIKIANA NA SHIRIKA LA AMEND TANZANIA KUTOA MAFUNZO KWA MADEREVA BODABODA
Na Mwandishi Wetu,Dodoma
MADEREVA bodaboda 145 katika Jiji la Dodoma- wamepatiwa mafunzo ya usalama barabarani awamu ya pili yalioanza Aprili 15 na kukamilika Mei 4...
WAZIRI MKUU AONGOZA MKUTANO WAKAZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 07, 2024 ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri uliofanyika kwenye ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma....
RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA WAPCOS YA INDIA
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na RK Agrawal Mkurugenzi Mtendaji wa...
USAHIHI WA UTABIRI WA TMA WAFIKIA ASILIMIA 86 WMO YAIMINI YAIPA MAJUKUMU MAZITO
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeendelea na utoaji wa huduma, kudhibiti na kuratibu shughuli za hali ya...
MWENGE WA UHURU 2024 WASHINDWA KUFIKA KWENYE MIRADI MIWILI RUFIJI, MAJI YAFUNIKA BARABARA
Na Mwandishi wetu, Rufiji
MWENGE wa Uhuru 2024 umelazimika kupokea taarifa ya miradi miwili ya maendeleo iliyopo Utete makao makuu ya wilaya ya Rufiji katika...
WAUZA MLIMA SHILINGI MILLIONI 20
Na Mwandishi Wetu, Kilosa
JESHI la Polisi wilayani kilosa limewatia mbaroni watu wawili akiwemo Mwenyekiti wa Kitongoji cha Msowero A, Petro Sanga (Paroko) mwenzake, Awadh...
RAIS SAMIA AAGIZA HUDUMA ZA DHARURA MAENEO YALIYOATHIRIWA NA KIMBUNGA HIDAYA
Na Mwandishi wetu, Dodoma
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ameagiza huduma za dharura zipelekwe kwenye maeneo yaliyopata athari kutokana na kimbunga Hidaya.
Hayo yamesemwa leo...