DK. KIJAJI ANATARAJIA KUWA MGENI RASMI SIKU YA MAADHIMISHO YA SIKU YA MILIKI UBUNIFU...
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dk.Ashatu Kijaji anatarajia kuwa mgeni rasmi siku ya maadhimisho ya siku ya miliki ubunifu Duniani...
DK. NDUMBARO AFANYA KIKAO NA KAMISHENI YA NGUMI ZA KULIPA
Na Mwandishi wetu, Dodoma
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro amefanya kikao na Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini Mei,...
RC CHALAMILA APOKEA MWENGE WA UHURU 2024
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Mei 08, 2024 amepokea Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoa wa...
SERIKALI KUJENGA KITUO CHA KUPOZA UMEME NA SWITCHING STATION SONGWE- KAPINGA
📌 Lengo ni kuimarisha upatikanaji umeme mkoani Songwe
📌 Uboreshaji wa miundombinu ya umeme unaendelea
Na Mwandishi wetu, Dodoma
NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga...
RAIS DK.SAMIA KUZINDUA MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk.Doto Mashaka Biteko mara...
MATUKIO KATIKA PICHA-UZINDUZI MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Viongozi, wadau na wananchi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034.
Hafla hiyo inafanyika leo...
WAZIRI WA ULINZI AFANYA ZIARA KAMANDI YA JESHI LA AKIBA NA KULITAKA KUFANYA TATHMINI...
Na Mwandishi wetu, Manyoni
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk.Stergomena Tax ameagiza Uongozi wa Kamandi ya Jeshi la Akiba kufanya...
BILIONI 1.1 ZA TANROADS ZAREJESHA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA YALIYOSOMBWA NA MVUA ZA...
Na Mwandishi wetu, Katavi
WAKALA Barabara Tanzania Nchini (TANROADS) Mkoani Katavi imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kufanya kazi ya matengenezo na kurejesha miundombinu ya...
CCM IMEAMUA KUTOA ELIMU KUHUSU MASUALA YALIYOPO MAHAKAMANI – MAKALLA
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla amesema kuwa viongozi wengi wa chama wamekuwa...
SERIKALI YAUNDA KAMATI YA UCHAMBUZI VIWANGO VYA PENSHENI
Peter Haule, Dodoma
SERIKALI imesema kuwa imeunda kamati ya kukusanya na kuchambua maoni na mapendekezo ya viwango vya nyongeza ya pensheni ili kuwezesha maandalizi ya...