SIMBACHAWENE AWASILI IRINGA KUTETA NA WATUNZA NYARAKA NA KUMBUKUMBU.
Na Mwandishi wetu, Iringa
MKUU wa wilaya ya Iringa, Kheri James mapema leo amempokea Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora...
MA-DC, MA-DAS NA MA-DED WAHIMIZWA KUTENDA HAKI KUDUMISHA AMANI NA MSHIKAMANO NCHINI
📌Dkt. Biteko awataka kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwa kuzingatia sheria
📌Asema maamuzi yao yasiwe ya upendeleo
📌Aelekeza kuandaa mkakati thabiti wa kutatua migogoro ya...
DK.SAMIA AAGIZA MRADI WA CHUMA LIGANGA KUANZA UZALISHAJI
Na Esther Mnyika @@Lajiji Digital
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amewaagiza Waziri wa Viwanda na Biashara Dk. Ashatu Kijaji na Waziri wa Nchi...
WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI COMORO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 9, 2024 amezungumza na Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Said Othman Yakubu kwenye ukumbi wa Spika, bungeni jijini...
SERIKALI INAENDELEA KUWAHUDUMIA WAATHIRIKA WA KIMBUNGA HIDAYA – MAJALIWA
Ataja hatua zilizochukuliwa na Serikali katika kurejesha hali.
Na Mwandishi wetu, Dodoma.
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutoa misaada ya kibinadamu na...
TAWA WATOA ELIMU YA KUJIHAMI NA MAMBA NA KIBOKO SHULE YA SEKONDARI ZIMBWINI KIBITI
Na Mwandishi wetu, Pwani
WANAFUNZI wa shule ya sekondari Zimbwini iliyopo Kibiti Pwani wamepatiwa mafunzo maalum kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama pori Tanzania...
RAIS DK. SAMIA AZINDUA MKAKATI WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI, ATOA AGIZO HILI KWA...
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Nishati kukaa pamoja na wadau ili kubaini maeneo ambayo yakifanyiwa maboresho...
WADAU WA KILIMO WAIOMBA SERIKALI KUTOA ELIMU NA MITAJI KWA VIJANA.
Na Sophia Kingimali@Lajiji Digital
KATIKA kuendelea kuboresha sekta ya kilimo nchini na kuleta tija kwa wananchi Jukwaa la wadau wa kilimo wasio kuwa wa...
MAFUNZO YA KUWAENDELEZA WATAALAMU WA USANIFU, UHANDISI NA WAKADIRIAJI MAJENGO TANZANIA
Na Mwandishi wetu,Zanzibar
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zitaendelea kuweka mazingira mazuri kwa kuziimarisha Taasisi za...
KUTO KUSIMAMA KWENYE VIVUKO NI KUNACHANGIA AJALI
Na Mwandishi wetu, Pwani
MKUU wa Dawati la Elimu ya Usalama Barabarani Tanzania Kamishina Msaidizi wa Polisi, Michael Deceli amewataka madereva wa vyombo vya...