WAZIRI MKUU ASHIRIKI MBIO ZA MBEYA TULIA MARATHON 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 11, 2024 ameshiriki katika tukio la mbio za Mbeya Tulia Marathoni 2024 zilizoandaliwa na Taasisi Isiyo ya Kiserikali...
MIFUMO WA PAMOJA WA UKUSANYAJI TOZO KUANZISHWA ILI KURAHISISHA UFANYAJI BIASHARA
Na Mwandishi wetu, Mbeya
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Ashatu Kijaji amesema Serikali inaendelea na mchakato wa kuandaa mfumo mmoja wa ukusanyaji...
TUENDELEE KUIOMBEA NCHI NA VIONGOZI WAKE-DK.MWINYI
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaomba Waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea...
MARUFUKU KUUZA VITABU VYA KLINIKI – WAZIRI UMMY
Na Mwandishi wetu, Dodoma
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amepiga marufuku kwa watendaji wa Wizara ya Afya na wadau wake kutowauzia wajawazito vitabu vya kliniki...
WAZIRI KUVALIA NJUGA MIGOGORO YA ARDHI SAME.
Ashrack Miraji, Same
WAZIRI wa Aridhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Slaa amekubali kuambatana na Mbunge wa Jimbo la Same Magharib, David Mathayo...
RC MAKONDA ATOA AHADI KUMJENGEA NYUMBA BIBI PENINA PETRO – ARUSHA
Na Mwandishi wetu, Arusha
MKUU wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameahidi kumjengea nyumba ya vyumba viwili Bibi Penina Petro (70) Mkazi wa Kijiji...
WAZIRI MKUU ANATARAJIA KUWA MGENI RASMI TULIQ MARATHON
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 10, 2024 amewasili uwanja wa ndege wa Songwe ambapo kesho Mei 11, 2024 atakuwa mgeni rasmi katika mbio...
SERIKALI KUBORESHA SERA YA MILIKI BUNIFU
Na Esther Mnyika @Lajiji Digital
SERIKALI imeweka wazi kuwa inaendelea kuboresha sheria na sera ya Miliki Bunifu ili kuhakikisha yanakuwepo mazingira rafiki yenye tija...
DK. BITEKO AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI COMORO
Na Mwandishi wetu, Dodoma
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania...
TAWA YAPONGEZWA KWA JITIHADA ZA KUDHIBITI WANYAMAPORI WAKALI NA WAHARIBIFU UKEREWE
Na Mwandishi wetu, Ukerewe
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe, Joshua Bituri Manumbu ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa jitihada endelevu...