RAIS DK.MWINYI AMUAPISHA KAMISHNA ZRA
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Kamishna Mkuu Mpya wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA)Nd,...
WAHANDISI NCHINI WAMETAKIWA KUFANYAKAZI KWA KUZINGATIA MAADILI NA NIDHAMU
Dar es Salaam
WAHANDISI nchini wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia maadili, nidhamu na uwajibikaji kazini.
Wito huo umetolewa leo Februari 11, 2025 na Msajili wa...
RAIS MWINYI AZINDUA KITUO CHA UKAGUZI WA VYOMBO VYA MOTO.
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Uwekezaji wa Kituo cha Kisasa cha Ukaguzi na Upasishaji wa...
SERIKALI INATOA KIPAUMBELE KUFIKISHA UMEME TAASISI ZINAZOTOA HUDUMA KWA JAMII – KAPINGA
📌 Hadi Januari 2025 taasisi za elimu zilizopatiwa umeme kupitia REA ni 18,597.
📌 Asema Serikali inatoa ruzuku kwa watumiaji wa mwisho wa gesi ya...
TUICO YAWATAKA WANACHAMA WAKE KUCHAGUA VIONGOZI SAHIHI
Esther Mnyika @Lajiji Digital
CHAMA Cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara,Taasisi za Fedha Huduma na Ushauri (TUICO) kimewataka wanachama wake kujipanga katika kugombea na kuchagua...
MADINI YA TANZANITE KUUZWA KWENYE MASOKO YA NDANI, NJE YA MIRERANI – DK. KIRUSWA
*Ujenzi wa Kiwanda cha Kusafisha Chumvi Nangurukuru – Kilwa Waendelea
Dodoma
NAIBU Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa amesema kuwa katika kuimarisha thamani ya madini...
NFRA KUUZA TANI MILIONI MOJA YA MAZAO 2025/2026
Dar es Salaam
WAKALA wa Taifa wa Uhifadhi wa Chakula nchini (NFRA) unatarajia kuuza takribani tani milioni moja za chakula kwa mwaka wa fedha wa...
ANWANI ZA MAKAZI KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI-MAJALIWA
Dodoma
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mfumo wa anwani za makazi utasaidia kuchochea ukuaji wa uchumi, kuharakisha upatikanaji wa huduma za kijamii, kuimarisha masuala...
NJIA YA KIDIPLOMASIA KUMALIZA MGOGORO DRC
Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Rais wa Kenya, Dk.William Ruto amesema mazungumzo ya kidiplomasia yatamaliza vita vinavyoendelea katika...