Ujenzi wa Barabara ya Kimara, Bonyokwa na Kinyerezi umeanza utakamilika kwa miezi 16.
Na Mwandishi wetu
MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam,Albert Chalamila amemtaka mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Kimara...
Balozi Dk. Nchimbi tuwekeze kwa wanawake kwa maendeleo ya Taifa
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi ametoa wito kwa jamii ya Kitanzania kuendelea na jitihada...
Wanawake mtembee na Rais Dk.Samia hadi mitano tena 2025
Na Shomari Binda, Bunda
MKUU wa mkoa wa Mara Said Mtanda ametoa wito kwa wanawake wa mkoa wa Mara na nchi nzima kumuunga mkono Rais...
Majaliwa akutana na Balozi wa Qatar nchini
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa Qatar nchini Fahad Rashid Al Muraikhi, pia amepokea salamu za pole ya Rais Mstaafu wa awamu...
Rais Dk.Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Dar es Salaam leo ...
watumishi wa nishati watoa elimu ya nishati safi.
Na Mwandishi wetu,Dodoma
WANAWAKE wa Wizara ya Nishati, wameungana na wanawake wenzao dunia kuadhimisha siku ya wanawake ambayo Mkoani Dodoma imeadhimishwa wilayani Chamwino.
Katika madhimisho...
profesa Mkenda mtaala mpya wa mafunzo umeanza kutumika mwaka huu.
Na Mwandishi wetu
Waziri wa elimu,sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mtaala mpya wa mafunzo imeaanza kutumika mwaka huu ngazi ya shule...
WANAWAKE TARURA WATEMBELEA GEREZA LA WANAWAKE ISANGA
Na Mwandishi wetu, Dodoma
WATUMISHI wanawake wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wamepongezwa kwa kuwawezesha wanawake wenzao waliopo kwenye gereza la wanawake...
Rais Dk.Mwinyi Atoa Shukurani.
Na Mwandishi wetu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj. Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa shukrani kwa Wakuu wa Mikoa...
Matumizi ya Nishati safi ya kupikia yameanza rasmi Dk. Biteko
Na Mwandishi wetu
📌Agawa mitungi ya Gesi na Majiko Banifu kwa Wajasiriamali Dar es Salaam
📌 Ataka Taasisi kuachana matumizi ya kuni na mkaa
📌 Ahimiza...