WATANZANIA 32000 WANAPOTEZA MAISHA HAWATUMII NISHATI SAFI
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
WAZIRI Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Dk. Seleman Jafo amesema takwimu zinaonesha takribani ya watanzania 32000...
SMZ INATHAMINI MCHANGO WA CRDB KATIKA KUKUZA UCHUMI-DK.MWINYI
Na Mwandishi wetu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi .Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inathamini sana mchango wa Benki ya CRDB...
SECRETO DIVAS WAMEANDAA KONGAMANO KUWAKUTANISHA PAMOJA WAJASIRIAMALI
Na Sophia Kingimali.
TAASISI ya umoja wa wanawake wa jasiliamali nchini (Secreto Divas)wameandaa kongamano kubwa lenye lengo la kuwakutanisha pamoja wajasiliamali wanawake wakubwa na wa...
CHATANDA AWAHIMIZA WAKANDARASI WANAWAKE KUCHANGAMKIA FURSA YA MIKOPO YA ASILIMIA 10
Na Mwandishi wetu, Dodoma
MWENYEKITI wa Umoja wa wanawake Tanzania(UWT), Mary Chatanda amewahimiza Wakandarasi wanawake kuchangamkia Fursa ya Mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na...
TANZANIA IMEPIGA HATUA KWENYE MAWASILIANO – MAJALIWA
Na Mwandishi wetu, Dodoma
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazopiga hatua kubwa kwenye sekta ya mawasiliano na...
WAZIRI MKUU AFANYA MAZUNGUMZO NA IGP
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 16, 2024 amefanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, Ofisini kwa Waziri Mkuu...
WAZIRI MKUU AKIJIBU MASWALI YA PAPO KWA PAPO BUNGENI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijibu Maswali ya wabunge wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo Bungeni jijini Dodoma, Mei 16, 2024.
Waziri Mkuu...
SERIKALI YASISITIZA MATUMIZI YA MASHINE ZA EFD
Na Saidina Msangi, Dodoma.
SERIKALI imesema kuwa taratibu za kikodi zimebainisha kwamba, mfanyabiashara yeyote mwenye mauzo ghafi yenye kiasi cha shilingi milioni kumi na...
USAFIRI WA ANGA NI KICHOCHEO CHA UKUAJI UCHUMI-DK.MWINYI
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema sekta ya utalii ina mchango mkubwa katika...
DK.MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM ZANZIBAR
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri...