TANZANIA NA BURUNDI ZAJADILIANA UJENZI WA SGR.

Na Joseph Mahumi na Josephine Majura, Dodoma WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Miundombinu wa Burundi ...

DKT. BITEKO ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMWOMBEA HAYATI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI CHATO

Na Mwandishi wetu, Chato 📌 Asema Rais, Dkt. Samia anatekeleza kwa kasi kubwa misingi iliyowekwa na Hayati Magufuli 📌 Dkt. Samia ajenga Makumbusho ya Hayati...

DK. NCHIMBI AWASILI ZIMBABWE MKUTANO WA VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA

Na Mwandishi wetu KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, akiambatana na baadhi ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM ya...

TRILIONI 2.53 ZAIPAISHA TARURA NDANI YA MIAKA MITATU YA MHE.RAIS SAMIA,MAMEYA WA KINONDONI NA...

Na Catherine Sungura, Dar es Salaam KATIKA kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, bajeti...

SERIKALI IMEFANIKIWA KUWA KARIBU NA WANANCHI-DK.MWINYI

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imefanikiwa sana kuongeza ukaribu na wananchi...

TAASISI YA IIT MADRAS KUENDELEA NA UTOAJI WA ELIMU YA TEKNOLOJIA MASHULENI

Na Nihifadhi Issa, zanzibar JUMLA ya wanafunzi laki mbili hufanya maombi ya masomo kupitia Taasisi ya Teknolojia ya India (IIT MADRAS) kwa kila mwaka. Hayo yamesemwa...

BALOZI DK. EMMANUEL NCHIMBI AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI

Na Mwandishi wetu, KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amekutana na Balozi wa China nchini, Chen Mingjian, leo...

DK.KIJAJI ATAKA WADAU KUJIPANGA NA TEKNOLOJIA AKILI MNEMBA

Na Mwandishi wetu WAZIRI wa Viwanda na Biashara, DK.Ashantu Kijaji ametoa wito kwa wadau wote husika kujipanga kama Taifa ili kunufaika fursa zinazotokana na...

SAFARI YA KUENDELEZA VYANZO VIPYA VYA UMEME YASHIKA KASI

* Dkt.Biteko azindua utekelezaji mradi mkubwa wa umeme Jua Kishapu * Ni wa megawati 150 * TANESCO, REA watakiwa kupelekea umeme wananchi kwa haraka *Wakandarasi SUMA-JKT, TONTAN...

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI TAMASHA LA TAWiFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akiwasili ukumbini kwa ajili ya uzinduzi wa Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha Tanzania...