DKT. NCHEMBA ATETA NA WAZIRI WA VIWANDA

WAZIRI Fedha, Dk. Mwigulu  Nchemba akizungumza jambo wakati wa mkutano wake na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk.Ashatu Kijaji ambapo wamejadili masuala mbalimbali ya kuendeleza sekta...

COMBINATION 49 ZAONGEZWA KIDATO CHA TANO

Na Esther Mnyika Serikali imezindua mfumo wa kufanya mabadiliko ya tahasusi za kidato cha tano na kozi za vyuo kwa njia ya mtandao kwenye...

UJERUMANI YAAHIDI KUSAIDIA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI

Na Mwandishi wetu Na Esther Mnyika Mtanzania Digital Tanzania na Ujerumani zimesaini Makubaliano ya ahadi ya msaada wa kiasi cha euro milioni 70 sawa na...

WAZIRI MAKAMBA AMESEMA RAIS DK.SAMIA AMETANGAZA DIPLOMASIA MARA DUFU

Na Mwandishi wetu WAziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki , January Makamba amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amefanya mambo...

WANANCHI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KUMUCHAGUA DIWANI SENGEREMA.

Na Mwandishi wetu, WANANCHI wa Kata ya Buzilasoga wilayani Sengerema Mkoani Mwanza wamejitokeza kupiga kura kumuchagua diwani wa Kata hiyo kwenye uchaguzi mdogo. Uchaguzi huo wa...

RC BABU ATAKA ELIMU YA HEWA YA UKAA IWAFIKIWE WANANCHI

Na John Bera – SAME MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu ametoa rai kwa wataalamu wa misitu nchini kutoa elimu kwa wananchi juu...

KAMATI YA BUNGE YA PIC YAITAKA SERIKALI  KUIWEZESHA TBA 

Na Mwandishi wetu  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji ya Mitaji ya Umma (PIC) imeka Serikali kuiwezesha Wakala  Majengo Nchi (TBA).  Hayo yamesemwa  leo Machi ...

WAZIRI KAIRUKI, DK. ABBASI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA MAONO MAKUBWA KWENYE UHIFADHI NA UTALII

Na Mwandishi wetu IKIWA leo ni miaka mitatu tangu Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah...

DKT. BITEKO AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA NISHATI

Na Mwandishi wetu, Mwanza 📌 Aagiza kuanzishwa kwa Kitengo cha Nishati Safi ya Kupikia 📌 Lengo ni kutekeleza Ajenda ya Rais ya Nishati Safi ya...

“SERIKALI ITAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA MAZURI KWA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI” – MHANDISI SAMAMBA

Na Mwandishi wetu, Dodoma KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amesema kuwa Serikali kupitia Tume hiyo itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wachimbaji...