RAIS Dk. SAMIA AKUTANA NA WAZIRI IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Dar es Salaam Machi, 24...

RAIS SAMIA ASIKIA KILIO CHA WACHIMBAJI WADOGO SONGWE, LESENI 37 ZA UCHIMBAJI MADINI ZATOLEWA

Na Mwandishi wetu, SONGWE _Kunufaisha zaidi ya wachimbaji 5000 -Wamshukuru Rais Samia kwa kuwaendeleza wachimbaji wadogo _Waziri Mavunde awataka wachimbaji kuongeza uzalishaji baada ya kupata Leseni _Kwasasa...

MTUHUMIWA WA MAUJI YA MKEWE KILOSA AKAMWATWA

Na Mwandishi wetu JESHI la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mohamedi Omari mkazi wa kijiji cha Kimamba A, wilayani...

RC MTANDA AWAITA WAFANYABIASHARA WAWEKEZAJI KUWEKEZA MKOA WA MARA

Na Shomari Binda, Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Said Muhamed Mtanda amewaita wafanyabiashara na wawekezaji kuwekeza mkoa wa Mara kwani ni salama na una...

DK. BITEKO AAGIZA WIZARA YA MAJI KUHAKIKISHA WANANCHI WANAPATA MAJI SAFI NA SALAMA

📌 Asisitiza Wananchi kutoa maoni utunzaji wa mazingira katika Dira 2050 📌 Ataka Bodi za Mabonde ya Maji/NEMC kudhibiti uchafuzi wa mazingira 📌 Uvunaji wa Maji...

HAMAS WAVAMIA TENA HOSPITALI YA AL-SHIFA-JESHI LA ISRAEL.

Na Mwandishi wetu MIEZI minne baada ya wanajeshi wa Israel kuvamia hospitali kubwa zaidi ya Gaza, al-Shifa, wakidai kuwa ni kificho cha kamandi ya...

WAKULIMA WA ZAO LA PAMBA WILAYANI BARIADI MKOANI SIMIYU WAPONGEZA MRADI WA BBT KATIKA...

NA Mwandishi wetu, Bariadi WAKULIMA wa zao la Pamba Bariadi mkoani Simiyu wameipongeza Serikali kwa kuwaletea vijana wa Mradi wa Jenga kesho iliyo Bora...

WATU ZAIDI YA 1400 WAMEATHIRIKA NA MAFURIKO KILOSA

Na Mwandishi wetu, Kilosa Jumla ya watu 1404 wameathirika na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha katika Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro na nyumba 351 zimeingia...

ZARI THE BOSS LADY KESHO ANATARAJIA KUTOA MSAADA HOSPITALI

MPENZi wa zamani wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Zarina Hassan maarufu The Boss Lady, anatarajiwa kutoa msaada kwa wanawake waliojifungua kwenye Hospitali...

MAKAMU WA RAIS ,  AITAKA  WIZARA YA MALIASILI KUFANYA TAFITI ZA KUZUIA UHARIBIFU WA...

Na John Bera, SAME  MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango ameitaka  Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Taasisi zake  kushirikiana na Taasisi zingine zinazohusika katika...