DK. NCHEMBA AUSHUKURU UMOJA WA ULAYA KWA KUSAIDIA MAENDELEO YA NCHI
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchembaameishukuru Jumuiya ya Umoja wa Ulaya kwa mchango wake katika maendeleo ya Tanzania,...
SI MAJANGA YOTE YA MOTO MAJUMBANI YANASABABISHWA NA UMEME WA TANESCO
📌Matumizi ya wakandarasi wasio na utaalamu (Vishoka)kutandaza nyaya (wiring)pasipo kuwa na utaalaamu wa kufanya hivyo
📌*Matumizi holela ya vyombo mbalimbambali vinavyohitaji kutumia nishati ya Umeme...
SERIKALI IMEDHAMIRIA KUENDELEA KUTEKELEZA AGENDA YA UCHUMI WA VIWANDA: DK. BITEKO
📌Tanzania na Uganda kuendelea kushirikiana kukuza biashara na diplomasia
📌 Serikali kuhakikisha upatikanaji wa mafuta na gesi kwa bei nafuu na kuongeza ushiriki wa wananchi...
RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA PSC~AU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi M Dk....
BASI LA SHABIBY LAPATA AJILI
Basi la Shabiby lenye namba za usajili T 341 EEU lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Dodoma, likiwa na zaidi ya abiria 25, limepata...
NAWASHUKURU KWA DUA ZENU – DK.MWINYI
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewashukuru Wazee wa Vijiji vya Ukongoroni na...
TIRA WATOA SOMO LA USAJILI WA WAMILIKI WA GEREJI
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
KAMISHNA wa Bima Dk.Baghayo Saqware amewataka wamiliki wa gereji za kutengeneza magari, kujisajili katika Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) ...
RAIS DK.SAMIA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KATIKA UBALOZI WA IRAN NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran nchini Tanzania...
TARURA YAANZA KUREJESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA ILIYOHARIBIWA NA MVUA – MALINYI
Takriban kilometa 53za barabara zapata madhara ya kukatika Malinyi
Na Mwandishi wetu, Malinyi
WAKALA wa ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza utekelezaji...
UPEMBUZI YAKINIFU BARABARA YA CHANZURU – KILOSA WAKAMILIKA
Na Mwandishi wetu Dodoma
SERIKALI kupitia Wizara ya Ujenzi imesema Upembuzi Yakinifu na Usanifu wa kina wa Barabara ya Chanzuru - Melela - Kilosa...