BALOZI DK NCHIMBI: MFUMO WA ELIMU UTAWASAIDIA WATANZANIA KUSHINDANA KIMATAIFA
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema mageuzi makubwa ya mfumo wa elimu ya Tanzania...
TANZANIA YASHIKA UKURUGENZI WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA.
Na Ramadhani Kissimba na Farida Ramadhani, WF β Nairobi
TANZANIA inatarajia kushika nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji mbadala (Alternative Executive Director) katika Kundi la Magavana wa...
BENKI KUU KUSIMAMIA KANZIDATA YA TAARIFA ZA WAKOPAJI
Na Saidina Msangi,Dodoma.
SERIKALI imesema kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imetoa leseni kwa kampuni mbili za kuchakata taarifa za mikopo, kampuni hizo ni Creditinfo...
MKATABA WA TANESCO NA SONGAS KUMALIZIKA JULAI 2024.
Na Mwandishi wetu Dodoma
SERIKALI imesema kuwa mkataba wa ununuzi wa umeme kati ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na SONGAS utafikia ukomo Julai...
RAIS WA ZANZIBAR DK. MWINYI AMEMUAPISHA SHARRIF ALI SHARRIF
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi MDk.Hussein Ali Mwinyi leo Mei 26 amemuapisha Sharrif Ali Sharrif kuwa mjumbe wa Tume ya...
WATANZANIA WAASWA KUTUMIA FURSA YA MSAADA WA KISHERIA KUTATUA MIGOGORO
π Ni kupitia kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia
π TEHAMA kutumika utoaji haki
πWatoa huduma za sheria wahudumie wananchi kwa upendo
Na Mwandishi wetu,Njombe...
SERIKALI INATHAMINI MCHANGO WA MADHEHEBU YA DINI-MAJALIWA
Na Mwandishi wetu, Mbeya
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuthamini, kutambua na kuheshimu mchango wa madhehebu ya dini katika kuchochea maendeleo katika...
DK. BITEKO KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA NJOMBE
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akitembelea mabanda mbalimbali katika hafla maalum ya Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria...
SWAHIBA WA NYERERE APONGEZA UONGOZI WA SAMIA, AKITIMIZA MIAKA 99
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
MWANASIASA mkongwe nchini, Alhadji Mustapha Songambele amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuliongoza vyema taifa.
Mzee Songambele ametoa pongezi hizo mbele...
SERIKALI KUREJESHA MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIKA NA MVUA-MAJALIWA
Asisitiza mpango wa Serikali wa kukuza sekta ya kilimo
Na Mwandishi wetu, Ruanga
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imejipanga kuendelea kurejesha miundombinu yote...