MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA ASKOFU WA NLGCC
Na Mwandishi wetu, Mara
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa Machi 30 2024 alimuwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya Askofu wa kanisa La New...
TARURA DODOMA YAPUNGUZA BARABARA ZENYE HALI MBAYA KWA ASILIMIA 60
*Bajeti yaongezeka mara tatu
Na Mwandishi wetu, Dodoma
MIUNDOMBINU ya usafirishaji inazidi kuimarika ndani ya Mkoa wa Dodoma ambapo umeweza kupunguza wastani wa asilimia 60 za...
TUISOME KWA WINGI QURAN TUKUFU-DK.MWINYI
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Waumini wa Dini ya kiislamu...
CHATANDA ATEMBELEA FAMILIA YA BOGOHE MWASISI WA UWT PAMOJA NA CCM MWANZA.
Na Mwandishi wetu, Mwanza
MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda amefika Kisesa wilaya ya Magu mkoani Mwanza kumtembelea Mwasisi wa...
RAIS DK.MWINYI AKUTANA NA WAZEE WA ACT-WAZALENDO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Wazee wa Chama cha ACT- Wazalendo, kikao hicho kilichofanyika Ikulu...
RAIS DK.MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA MKOA WA KUSINI PEMBA KATIKA FUTARI.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba wakiwemo watu wenye...
RAIS DK. SAMIA AHIDI KUFANYIA KAZI RIPOTI YA CAG NA TAKUKURU.
Na Mwandishi wetu, Dodoma
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amepokea Ripoti ya Mdibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/2023 na...
*DK. BITEKO AAGIZA KUVUNJWA BODI YA ETDCO.
📌 Menejimenti ETDCO nayo isukwe upya
📌 Ni kufuatia Wizi, Utendaji mbovu na kusuasua kwa miradi
📌 Awataja baadhi ya Watumishi wanaohusika na vitendo hivyo
📌 Waliobainika...
KAMATI YA BUNGE YA PIC YAIPONGEZA TRC.
Na Mwandishi wetu @Lajiji Digital
KAMATI ya Bunge ya Kudumu ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC) imepongeza Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa ubunifu...
RAIS DK. SAMIA AKIPOKEA RIPOT YA CAG NA TAKUKURU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka...