MIGODI YA MADINI 21,686 YAKUGULIWA KATIKA KIPINDI CHA JULAI 2023 HADI APRILI 2024
Kati ya migodi hiyo, migodi mikubwa ni nane, migodi ya kati 56 na migodi midogo 21,622.
Na Mwandishi wetu, Dodoma
HAYO yamesemwa na Naibu Katibu...
ZANZIBAR ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA NORWAY-DK.MWINYI
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar itaendelea kushirikiana na Serikali ya Norway...
JUMUIYA YA SHIA WAMPONGEZA RAIS DK.MWINYI KWA MAENDELEO
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameushukuru uongozi wa Jumuiya ya Shia Tanzania kumpongeza...
WABUNGE WATAKA BAJETI YA UJENZI IPITE//WALILIA IONGEZWE FEDHA
Na Mwandishi wetu, Dodoma
WABUNGE wamepongeza kazi zinazofanyika katika Wizara ya Ujenzi huku wakitaka Kamati ya Bajeti kufanya mapitio upya ya bajeti ili kuongeza...
WAZIRI MKUU ATOA WITO KWA TAASISI ZA KIFEDHA KUZITAMBUA HATI ZA KIMILA
Na Mwandishi wetu,Dodoma
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za fedha nchini kuzitambua hati za kimila kama dhamana ya kutoa mikopo kwa...
WAPIGA KURA WAPYA 224,355 KUANDIKISHWA KIGOMA
Na Mwandishi wetu, Kigoma
WAPIGA kura wapya 224,355 wanatarajiwa kuandikishwa mkoani Kigoma wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa...
KUELEKEA UZINDUZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME IFAKARA, HIVI NDIVYO WADAU WANAVYOUZUNGUMZIA MRADI HUO
Na Mwandishi wetu, Morogoro
WAKAZI wa Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wameishukuru na kuipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri...
MGOGORO WA MIPAKA PORI LA AKIBA LIPARAMBA WATATULIWA, WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI
Na Beatus Maganja
JUHUDI za Serikali za kutatua migogoro ya matumizi ya ardhi baina ya Hifadhi na wananchi zinaendelea kuzaa matunda baada ya kutatua...
WATAALAM WALIOSTAAFU KUENDELEA KUTUMIKA KATIKA UJENZI NA MATENGENEZO YA BARABARA: BASHUNGWA
WIZARA ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara.
Haya yamebainishwa...
RAIS DK.MWINYI AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA UFARANSA KUWEKEZA ZANZIBAR
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ametoa wito na kuwakaribisha wafanyabiashara kutoka Ufaransa kuangalia...