TANZANIA NA DENMARK KUIMARISHA ZAIDI USHIRIKIANO WA KIUCHUMI

Na Benny Mwaipaja, Dodoma WAZIRI wa Fedha,Dk. Mwigulu  Nchemba  ameihakikishia Denmark kwamba Tanzania iko tayari kushirikiana na nchi hiyo kupitia Mkakati wake mpya wa ushirikiano...

DKT. BITEKO AFUTURISHA JIMBONI BUKOMBE

Na Mwandishi wetu, Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe Aprili, 4...

ZANZIBAR KUDUMISHA USHIRIKIANO NA OMAN.

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuendeleza ushirikiano wa muda mrefu...

WAZIRI MAVUNDE AKUTANA NA MWENYEKITI WA BODI YA EITI JIJINI DAR ES SALAAM

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amekutana na kufanya kikao kifupi na Mwenyekiti wa Bodi ya EITI Rt. Helen Clark katika...

DAWA ZA KULEVYA MPYA AINA YA MDPV ZAKAMATWA

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imefanikiwa kukamata Kilogramu 4.623 za aina mpya ya dawa ya...

RIBA YA BENKI KUU YAPANDA KUTOKA ASILIMIA 5.5 HADI ASILIMIA SITA.

Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital  KAMATI ya Sera ya Fedha (MPC) imepandisha Riba ya Benki Kuu kutoka asilimia 5.5 iliyotumika katika robo ya kwanza ya mwaka...

TARURA YADHAMIRIA KUIMARISHA MTANDAO WA BARABARA KWA 85%

Na Mwandishi wetu, Morogoro WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ina lengo la kuhakikisha barabara zote nchini zinapitika kwa asilimia 85 ili kuinua...

WATENDAJI WAZEMBE TANESCO KUANZA KUCHUKULIWA HATUA KILA MWEZI – DK. BITEKO

📌Asisitiza Kituo cha Huduma kwa Wateja kuongeza ufanisi 📌Tathmini kufanyika kwa Mkataba wa Mtoa Huduma kwa wateja TANESCO 📌 Mameneja wa Mkoa TANESCO kupimwa kwa matokeo 📌TANESCO...

ERB NA ATE WASAINI MAKUBALIANO KUWEZESHA WAHANDISI WANAWAKE

Na Mwandishi wetu @Lajiji Digital IMEELEZWA kuwa ili kuhakikisha juhudi za kuwawezesha wanawake kupata fursa nyingi na nafasi katika fani mbalimbali ikiwemo uhandisi ni...

HALMASHAURI KUU TAIFA CCM IMEFANYA MADILIKO

Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imekutana leo Aprili,3 jijini Dar es Salaam katika kikao chake maalum,chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais...