SERIKALI IMELITAMBUA DENI LA KIWIRA COAL MINE LA SHILINGI BILIONI 1.52

Dodoma NAIBU Waziri wa Madini, Dk.Steven Kiruswa amesema Serikali imelitambua deni la Shilingi Bilioni 1.52 lililotokana na mapunjo ya mafao kutoka kwa waliokuwa wafanyakazi na...

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JWTZ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na wananchi wakati...

DK. TULIA ASISITIZA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA NCHINI

Mbeya 📌 Aandaa Tamasha la Uhamasishaji Nishati Safi ya Kupikia 📌 Mamalishe na Babalishe 1000 washiriki 📌 Kapinga asisitiza ubunifu ili kuleta unafuu matumizi ya Nishati...

RAIS DK.SAMIA KUSHIRIKI MKUTANO WA FOCAC NCHINI CHINA

Dar es Salaam RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuhudhuria mkutano wa tisa wa kilele wa wakuu wa nchi na serikali wa Jukwaa la...

RAIS DK.SAMIA:AMESISITIZA UMUHIMU WA HAKI, AMANI NA KUHESHIMIANA

Dar es Salaam RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu wa haki, amani, kuheshimiana, na kustahimiliana kama nguzo za kuimarisha umoja wetu kama taifa. Hayo...

DK. BITEKO AWAASA WATANZANIA KUCHAGUA VIONGOZI WANAOFAA

📌Asisitiza Umoja wa Kitaifa, Ataka Wagombea Kunadi Sera Kistaarabu 📌Aipongeza NMB kwa Kuchangia Sh. Milioni 50 Ujenzi wa Bunge Boys 📌Asema Bunge Bonanza Limeleta Mageuzi, Ampongeza...

KATA YA BWIGIRI KUPEWA MBINU YA KULINDA WANAWAKE WENYE ULEMAVU NA WATOTO DHIDI YA...

Dodoma TAASISI ya Foundation for Disabilities Hope FDH imezindua mradi wa kuzuia ukatili dhidi ya Wanawake na watoto wenye ulemavu katika kata ya Bwigiri...