DIWANI AMINA MASISSA AHIMIZA USAFI WA MAZINGIRA MAENEO YA MAJUMBANI NA BIASHARA

Na Shomari Binda-Musoma DIWANI wa viti maalum manispaa ya Musoma na Mwenyekiti wa Kamati ya Mipango Miji Amina Masissa amehimiza jamii kuwa na utaratibu wa...

JELA MIAKA 50 KWA KUBAKA NA UTAKATISHAJI WA FEDHA

Lindi MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Lindi, imewahukumu kwenda jela miaka 30 kwa kosa la ubakaji na miaka 20 kwa kosa la utakatishaji fedha pamoja na...

WAZIRI MKUU: TUTAENDELEA KUWASHIRIKISHA WAVUVI NA WAFUGAJI KWENYE MIPANGO YA MAENDELEO

Geita WAZIRI Mkuu Kassim Majakiwa amesema Serikali inaendelea kujikita katika kuhakikisha inaimarisha na kuwashirikisha wavuvi na wafugaji katika mipango ya maendeleo. Amesema hayo leo Juni...

DK.NCHIMBI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KATA YA MATAVES

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Kata ya Mataves, katika eneo la Kitongoji cha...

SERIKALI YENU IPO IMARA-MAJALIWA

Geita WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Swrikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ipo imara na inaemdelea kutekeleza miradi...

RAIS DK.SAMIA AFANYA KIKAO MAALUM WAWEKEZAJI NA WAMILIKI WAKUBWA WA KAMPUNI KOREA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiangalia picha maarufu zenye taswira yake muda mfupi kabla ya kuanza kwa kikao maalum...

TOFAUTI ZA DINI, SIASA ZISIWAGAWE WATANZANIA – DK. BITEKO

📌 Awataka waumini kushirikiana na Askofu Pangani 📌Serikali kuendelea kushirikiana na taasisi za dini nchini 📌 Rais Samia apewa tuzo kwa uongozi uliotukuka na kulinda amani Mbeya...

UNDENI VIKUNDI ILI MNUFAIKE NA MIKOPO-WAZIRI MKUU

Geita WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 02, 2024 amezindua jengo la kituo cha uwezeshaji wananchi kiuchumi katika halmashauri ya wilaya ya Nyang’hwale, Mkoani...

DK. BITEKO AKIPANDA MTI IKIWA NI SEHEMU YA MAADHIMISHO WIKI...

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akipanda mti katika maktaba ya Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji kilichopo Mbeya leo Juni...

RAIS DK.SAMIA NA RAIS YOON SUK YEOL WASHUDIA MAWAZIRI WAKISAINI HATI ZA MAKUBALIANO MBALIMBALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Korea, Yoon Suk Yeol wakati wakishuhudia...