DC KHERI JAMES APONGEZA UTENDAJI WA JESHI LA POLISI IRINGA.
Na Mwandishi wetu, Iringa
MKUU wa wilaya ya Iringa Komred Kheri James mapema leo amepongeza utendaji wa jeshi la Polisi mkoani Iringa kwa kuweza...
TIMU YA MAWIZIRI KUONGEZA NGUVU RUFIJI,KIBITI-MAJALIWA
Na Mwandishi wetu, Dodoma
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Timu ya Mawaziri itakwenda wilaya za Rufiji na Kibiti mkoani Pwani kuungana na...
BILIONI 96.47 KUONGEZA KASI YA MRADI WA UMEME WA KAKONO
Na Saidina Msangi, Dodoma.
SERIKALI ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa zimesaini mkataba wa Euro milioni 34.86 sawa na shilingi bilioni 96.47 kwa...
WAZIRI WA ULINZI ATOA POLE VIFO NA MAJERUHI YA WANAJESHI WA TANZANIA, DRC
Na Mwandishi wetu, Congo
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Stergomena Tax ametoa salamu za pole kwa Mkuu wa Majeshi...
WAZIRI MKUU AKUTANA NA DK. BITEKO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefanya mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini...
MHANDISI SEFF AMTAKA MKANDARASI CHICO KUONGEZA KASI UJENZI WA BARABARA ZA LAMI MRADI WA...
Na Mwandishi wetu, Iringa,
MTENDAJI Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amemtaka Mkandarasi ambaye ni China Henan International...
DKT KIRUSWA ATOA RAI KWA MENEJIMENTI WIZARA YA MADINI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYAKAZI
Na Mwandishi wetu
NAIBU Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa ametoa rai kwa Menejimenti ya Wizara ya Madini kuhakikisha inachukua hatua za dhati...
DK.NCHIMBI ASHIRIKI KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza wakati wa hotuba ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi...
WAANDISHI WA HABARI WAPEWA ELIMU KUHUSU RIBA YA BENKI KUU (CRB).
Na Mwandishi wetu@Lajiji Digital
MKURUGENZI wa Utafiti na Sera za Uchumi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),Dk. Suleiman Missango amesema kuwa Riba ya Benki Kuu...
TUENDELEE KUUTHAMNI MUUNGANO WETU-MAJALIWA
Na Mwandishi wetu, Dodoma
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wote, Bara na Visiwani waendelee kuulinda, kuuenzi, kujivunia na kuuthamini Muungano wa Tanganyika na...