SERIKALI YATOA KIFUTA JASHO NA KIFUTA MACHOZI CHA ZAIDI YA MILIONI 399 KWA...

Na. Beatus Maganja, Nachingwea SERIKALI kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imetoa kifuta jasho na kifuta machozi cha zaidi ya shillingi millioni 399 kwa...

WAZIRI MKUU KUSHIRIKI IBADA MAALUM YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 40 YA KIFO SOKOINE.

Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa leo Aprili 11, 2024 amewasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kisongo jijini Arusha ambapo kesho Aprili 13, 2024 atashiriki katika...

DK. BITEKO AMTEMBELEA MZEE STEPHEN MASHISHANGA NYUMBANI KWAKE MOROGOR

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, Amemtembelea kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mkuu wa Mkoa mstaafu, Mzee Stephen...

TARURA PWANI YAONGEZA MTANDAO WA BARABARA

Na Catherine Sungura,Pwani Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imezidi kuimarisha mtandao wa barabara ndani ya mkoa wa Pwani na kufungua uchumi wake...

BALOZI NCHIMBI AKOSHWA NA MAFUNZO YA VIONGOZI WA KISIASA WANAWAKE NCHINI.

Na Mwandishi wetu,Dodoma KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amefurahishwa na mafunzo yanayotolewa kwa Viongozi wa kisiasa wanawake...

RAIS DK.MWINYI AHIMIZA KUENDELEA KUTENDA MEMA

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewashukuru Masheikh na Waalimu kwa kazi kubwa...

RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA NA WAGENI MBALIMBALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia S Suluhu Hassan akizungumza na Wageni mbalimbali pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu kwenye...

TUENDELEE KUYAISHI TULIYOJIFUNZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN-MAJALIWA

Na Mwandishi wetu, Dodoma WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka waumini wa dini ya kiislam kuendelea kuyaishi yale waliyojifunza wakati Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Ametoa...

RAIS DK.MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI SALA YA EID EL FITR.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala...

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI IBADA YA EID EL FITRI

Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki ibada ya Eid El Fitri katika Msikiti Mkuu wa Bakwata (Mfalme Mohammed VI wa Morocco), Kinondoni Dar es Salaaam,...