PUMA ENERGY YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 12.2, RAIS DK. SAMIA APONGEZA
Dar es Salaam
KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Tanzania imepongezwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mazingira Mazuri ya uwekezaji ambayo yamesababisha...
DK. NCHEMBA: UJENZI WA KITUO CHA FORODHA HUZINGATIA UCHUMI NA USALAMA
Na. Peter Haule, Dodoma
WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amemshauri Mbunge wa Ngara, Ndaisaba George Ruhoro kushirikiana na Mamlaka husika ili kuangalia uwezekano wa...
RAIS DK.MWINYI AISHUKURU TAASISI YA AL MAZRUI
Zanzibar
RAIS Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi M Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Taasisi ya Al Mazrui Charitable Organisation ya Abu...
BOT KUTOA MIONGOZO NA KANUNI MPYA KWA AJILI YA KURATIBU WATOA HUDUMA NDOGO ZA...
Na Esther Mnyika@Dar es Salaam
BENKI kuu ya Tanzania (BOT)ipo mbioni kutoa miongozo na kanuni mpya kwa ajili ya kuratibu watoa huduma ndogo za...
WAPIGWA MSASA KUDHIBITI UTOROSHAJI MADINI
Morogoro
WATUMISHI wa Kurugenzi ya Ukaguzi na Biashara ya Madini kutoka Tume ya Madini, wamepigwa msasa namna ya kudhibiti utoroshaji wa madini nje ya...
UJUMBE KUTOKA ZANZIBAR KUJIFUNZA SERA YA MADINI TANZANIA BARA
Dodoma
UJUMBE wa Wizara ya Maji, Nishati na Madini kutoka Visiwani Zanzibar umekutana na Wizara ya Madini katika Kikao kazi cha kujadili na kutoa...
SERIKALI IMELIPA WAZABUNI KIASI CHA SHILINGI BILIONI 949 HADI MACHI, 2024
Na. Peter Haule, Dodoma
SERIKALI imesema kuwa hadi Machi 2024 imelipa jumla ya shilingi bilioni 949.31 sawa na asilimia 92 ya madeni ya wazabuni...
WAHANDISI WASHAURI NCHINI WATAKIWA KUSIMAMIA KWA UKARIBU UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA
Tabora
NAIBU Katibu Mkuu anayesimamia miundombinu OR-TAMISEMI Mhandisi Rogatus Matavila amewataka Wahandisi Washauri wanaosimamia miradi mbalimbali ya miundombinu ya barabara nchini kusimamia kwa ukaribu miradi...
FRIENDS OF SERENGETI YATOA UFADHILI WA VIFAA VYA DORIA VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA...
Na Beatus Maganja, Arusha.
KATIKA kuunga mkono jitihada za Serikali za kuhifadhi na kulinda rasilimali za wanyamapori nchini ikiwa ni pamoja na kudhibiti wa wanyama...