RAIS SAMIA AFUNGUA NCHI KIMATAIFA
📌 Diplomasia ya Kiuchumi yainadi Tanzania kimataifa
📌 Marekani yasaka fursa uwekezaji Sekta ya Nishati
📌 Dkt. Biteko ataja maono ya Rais Dkt. Samia kiini cha...
TUME YA MADINI YAJIPANGA KUKUSANYA SHILINGI TRILIONI 1
Mhandisi Samamba ataka kuongeza weledi na umoja katika utendaji kazi
TANGA
Wakati Bajeti Kuu ya Serikali ikitarajiwa kuwasilishwa kesho, Menejimenti ya Tume ya Madini imetakiwa kufanya...
WAZIRI MKUU ATOA MAAGIZO KWA WATUMISHI WA UMMA
Awataka waondoe urasimu na kutowasumbua wananchi wanaowahudumia
Arusha
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma nchini kote wawatumikie wananchi ipasavyo na wahakikishe wanaondoa urasimu...
TANZANIA KUENDELEA KUTOA KIPAUMBELE VYANZO MBADALA VYA UMEME
📌 Lengo ni kujihakikishia umeme wa kutosha na uhakika
📌 Dkt. Biteko akutana na wadau wa chemba ya wafanyabiashara wa Ujerumani na wadau wa nishati
📌...
BRELA YATOA GAWIO KWA SERIKALI KWA TAASISI ZA UMMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan jana Juni, 11 2024, amepokea gawio la kiasi shilingi Bilioni Kumi na...
RAIS WA CHAMA CHA TAS ALILIA HUKUMU KALI KWA WANAOKUTWA NA VIUNGO NA MAUAJI...
Pwani
RAIS wa Chama cha watu wenye ualbino Tanzania (TAS) Godson Mollel aonyesha kushangazwa na Mahakama nchini kutowahi kutoa adhabu kali kwa watu wanaokutwa...
TARURA YAENDELEA NA UJENZI WA MITARO MIKUBWA YA MAJI MKOANI TABORA.
Tabora
WAKALA wa Barbara za Vijijini na Mijini (TARURA ) mkoani TABORA unatekeleza ujenzi wa mitaro mikubwa ya maji ili kuondoa kero kwa wananchi hasa...
YEYOTE ANAYETAKA KUMKERA AKANYAGIE UCHUMI:RAIS DK.SAMIA
Dar es Salaam
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan mesema yoyote anayetaka kumkera amkanyagie uchumi ambao sasa umekuwa katika mageuzi makubwa.
Pia amesema mageuzi ya...
TAASISI YA MAMA ONGEA NA MWANAO YAWEKA TABASAMU KWA WATOTO WENYE UHITAJI KUWAPATI BASKELI...
Na Magrethy Katengu
TAASISI ya Ongea na Mwanao kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wametoa Baskeli za 250 kwa watoto wenye mahitaji maalumu (Walemavu) 250...
WANANCHI KIBOSHO WAIOMBA SERIKALI KUWAJENGEA VIVUKO VYA KUDUMU
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro
WANANCHI wa Kata ya Kibosho,wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro,wameungana na wadau wa maendeleo kushiriki katika ujenzi wa daraja linalounganisha...