WAZIRI MKUU AISHUKURU SERIKALI YA DENMARK, AAGANA NA BALOZI WAKE

Dar es Salaam WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameishukuru Serikali ya Denmark kwa misaada ambayo imekuwa ikiitoa kwenye miradi ya maendeleo nchini ambapo Krona milioni...

JIJI LA DAR LATANGAZA FURSA KWA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE MAENEO KUMI NA MOJA.

Na Mariam Muhando- Dar es salaam. HALMASHAURI ya Jiji la Dar es salaam imetangaza fursa kwa Wawekezaji Nchini kuwekeza katika maeneo kumi na Moja ya...

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA

*Aahidi kuendeleza ushirikiano baina ya nchi hizo Cuba WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali za Tanzania na Cuba zitaendelea kushirikiana katika sekta za Elimu, Afya, Kilimo,...

DK. MWINYI AHIMIZA MALEZI BORA KATIKA JAMII

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj. Dk. Hussein Ali Mwinyi amehiwahimiza Wazazi na Walezi kuhakikisha wanasimamia malezi bora yenye...

DK.TULIA AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA BENKI YA CRDB

Dodoma SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amekutana na kufanya...

KAMPUNI YA GAKI INVESTMENT LTD YAPONGEZWA KWA UWEKEZAJI MZURI WENYE TIJA.

Shinyanga KAMPUNI ya GAKI Investment Ltd. inayomilikiwa na Gaspar Kileo, ambaye ni Mkurugenzi yapongezwa kwa uwekezaji mzuri wenye tija kwa kuwa mwekezaji na mnunuzi...

RAIS DK.SAMIA ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UDAKITARI WA UCHUMI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kutoka kwa Mkuu wa...

TUENDELEE KUIOMBEA NCHI NA VIONGOZI WAKE-DK.MWINYI

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaomba Waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea...