BODI YA TAWA KUJA NA MIKAKATI KABAMBE YA KUIBORESHA HIFADHI YA PANDE
Na Beatus Maganja, Dar es Salaam.
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya TAWA Meja Jenerali(Mstaafu), Hamis Semfuko amesema Bodi anayooingoza imejipanga kuja na mipango...
TANESCO KUOKOA BILIONI 30 KILA MWAKA MKOA WA KAGERA UTAKAPOINGIA KWENYE GRIDI YA TAIFA
πYasaini mkataba na kampuni ya Mhandisi Mshauri ya Shaker na kampuni ya usimamizi miradi ya umeme ya PDC kusimamia ujenzi wa njia ya kusafirisha...
RAIS DK.SAMIA UKIFUATILIA BUNGE LA BAJETI KUU YA SERIKALI MWAKA 2024/25
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wasaidizi wake wakati akifuatilia Bunge la Bajeti Kuu ya Serikali ya...
INEC INATAMBUA MCHANGO WA VYOMBO VYA HABARI VYA KIJAMII NA DIGITAL HASA KATIKA KUWAFIKIA...
Na Esther Mnyika@Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji (Rufaa) Jacob Mwambegele amesema Tume inaheshimu na kutambua mchango...
SERIKALI YAWATAKA WANANCHI KUFUNGA CIRCUIT BREAKER MAJUMBANI
π Lengo ni kujilinda na athari za umeme
π Kapinga ataja juhudi zinazofanywa na Serikali kuimarisha hali ya umeme Jimbo la Segerea
π Asema usambazaji umeme...
TUNAWASAIDIA WAWEKEZAJI WAZAWA KUWA MAHIRI-WAZIRI MKUU
Dodoma
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuwajengea uwezo Watanzania wanaojishughulisha na masuala ya uwekezaji na kuweka mazingira wezeshi ili kuwasaidia wawe mahiri.
Amesema...
DARAJA LILILOKATIKA KWA ELNINO LAJENGWA,KUINUA UCHUMI WA WANANCHI-TABORA
Tabora
WANANCHI wa Kata ya Kakola na Ikomwa, Manispaa ya Tabora wameishukuru serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kuwafungulia mawasiliano...
TRENI YA UMME KUANZA SAFARI YAKE KUANZIA JUNE 14 ,2024 KUANZIA DARE ES SALAAM...
Dar es salaam
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limezindua kampeni ya uelewa kuhusu kuanza kwa huduma za usafiri wa Treni katika kiwango Cha kimataifa (SGR)...
MATOKEO YA UWEKEZAJI TPA YAVUNJA REKODI YA KUTOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 153.9...
Dar es Salaam
IKIWA ni miezi michache tu imepita mara baada ya maboresho ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na kampuni mbili za kimataifa katika...
RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA UGOMBEA URAIS MSUMBIJI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel...