OPARESHENI YA KUWADHIBITI FISI SIMIYU YAONESHA MAFANIKIO MAKUBWA
*Zaidi ya Fisi 16 wavunwa.
Simiyu.
OPARESHENI maalumu ya kuwadhibiti wanyamapori wakali na waharibifu aina ya fisi waliokuwa wanaleta taharuki na madhara Kwa jamii inayoendelea Mkoani...
PROFESA MKENDA: TAEC KUSIMAMIA KWA UMAKINI MASOMO YA ELIMU YA JUU YA...
Dar es Salaam
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ameitaka bodi mpya ya Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) kusimamia...
DK.BITEKO AMPONGEZA MWANAFUNZI ALIYEELEZEA MIRADI YA UMEME
*Amuahidi kutembelea mradi wa Julius Nyerere
Dar es Salaam
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza Mwanafunzi Mirabelle Msukari na Wenzake wa...
WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA NCHINI.
▪️Pia ateta na Balozi wa Jamhuri ya Korea
▪️Awaahidi kuendeleza ushirikiano
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Februari 18, 2025 amefanya mazungumzo na Balozi...
BENKI YA DUNIA IMEPATIA ZANZIBAR DOLA MILIONI 100 KWAAJILI YA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA
Zanzibar
BENKI ya Dunia Imeipatia Zanzibar Kiasi cha Dola Milioni 100 kwa ajili kuimarisha Miundombinu ya Sekta ya Afya hapa nchini.
Mkurugenzi Muendeshaji wa Benki...
DAWASA YAWAFUNDA WENYEVITI WA MITAA USIMAMIZI HUDUMA ZA MAJI
Dar es Salaam
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule amezitaka taasisi zinazofanya kazi ndani ya wilaya hiyo kuiga mfano wa Mamlaka ya...
RAIS DK. MWINYI: SERIKALI ITAENDELEA KUUNGA MKONO HARAKATI ZA UWAWAZA
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea Kuunga mkono Harakati za Jumuiya ya Wawakilishi...
SHILINGI TRILIONI 8.2 ZATUMIKA KUKOPESHA WANAFUNZI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 20-MAJALIWA.
▪️Asema Serikali ilifuta tozo za kulinda thamani ya fedha ili kuondoa changamoto katika urejeshaji wa mikopo.
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa...
MUHONGO :UVUVI WA VIZIMBA UNATAINUA UCHUMI MKUBWA WA WANANCHI MUSOMA VIJIJINI
Na Shomari Binda-Musoma
UVUVI wa samaki kupitia njia ya vizimba umedaiwa kuwa moja ya njia ya kuinua uchumi mkubwa wa wananchi wa jimbo la Musoma...
TANZANIA NA UNODC KUENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA KUKABILIANA NA UHALIFU WA MAZINGIRA
Dar es Salaam
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya na Uhalifu, Ofisi ya...