MRADI WA TAZA KUBORESHA HUDUMA YA UMEME MAFINGA
📌 Vituo vya kupoza umeme kujengwa kuimarisha usambazaji umeme
📌 Taasisi zapewa kipaumbele miradi ya usambazaji umeme
Dodoma
NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali...
WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE YASHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA...
📌 Nishati Safi ya Kupikia yapigiwa chapuo
📌 Wananchi wafurahia kuuona mradi wa JNHPP kupitia kifaa cha Uhalisia Pepe
📌 TANESCO yatoa huduma moja kwa moja...
MAJALIWA: WATANZANIA TUENDELEE KUDUMISHA AMANI, UPENDO NA MSHIKAMANO
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kudumisha amani, upendo, umoja, mshikamano, kuhurumiana sambamba na kujiepusha na vitendo vinavyoashiria...
RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI SALA EID AL ADHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa amejumuika pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam kwenye Sala ya Eid Al...
WAZIRI MKUU MGENI RASMI SWALA YA EID NA BARAZA LA EID KITAIFA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 17, 2024 ameswali swala ya Idd El-Adh’haa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI BAKWATA, Kinondoni Dar es Salaam.
PiaMajaliwa...
WAFUGAJI NCHINI WATAKIWA KUFUGA KISASA KULETA MAENDELEO
📌 Dk. Biteko aagiza Wizara ya Mifugo kuendelea kutoa elimu ufugaji wa kisasa
📌Wafugaji wahimizwa kushiriki maonesho ya mifugo kuboresha ufugaji wao
📌 Wafugaji na wakulima...
KAMATI YA BUNGE YAKAGUA MRADI WA MADINI MGODI WA KIWIRA
Songwe
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefanya ziara ya kikazi katika mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira kwa lengo la...
WAZIRI MKUU AAGIZA RC’s, DC’s KUFANYA MAPITIO YA VIKUNDI VYA JOGGING
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya nchini kufanya mapitio ya vikundi vyote vya Jogging katika...
RAIS DK.SAMIA AKISHEREHEKEA SIKU YA MTOTO AFRIKA PAMOJA NA WAJUKUU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es...
WAZIRI MKUU ATAKA HATUA ZICHUKULIWE KUONDOA UDUMAVU
Ataka Mikoa inayoongoza ianze urutubishaji wa chakula kuanzia ngazi za vijiji
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Mikoa yenye viwango vikubwa vya upungufu wa damu na...