TANZANIA NA SAUDI ARABIA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA MAFUTA NA GESI
๐Serikali kuimarisha maghala ya mafuta nchini
๐Dkt. Biteko akaribisha uwekezaji wa uzalishaji wa dawa za mifugo
Dodoma
NAIBU wa Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, ...
RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI UAPISHO WA RAIS WA AFRIKA KUSINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika viwanja vya Jengo la Umoja Jijini Pretoria kwa ajili ya kuhudhuria hafla...
WAZIRI SIMBACHAWENE ATEMBELEA MABANDA YA WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE WIKI YA UTUMISHI...
๐ Wizara yatanabaisha miradi yake
๐ Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia waendelea kusambazwa
Dodoma
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma...
SEKTA BINAFSI MSHIRIKA MKUBWA WA SERIKALI KATIKA KUTEKELEZA AGENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
๐ Upatikanaji Nishati Safi ya Kupikia kufika hadi ngazi ya Kaya
๐Asisitiza kuisukuma ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia
๐Asilimia 80 ya Watanzania kutumia Nishati Safi...
MHANDISI MATIVILA ARIDHISHWA NA UJENZI WA BARABARA MOROGORO
*Daraja la Lukuyu kuwaondolea adha wakulima kata ya Bigwa
Morogoro
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI anayesimamia Miundombinu,Mhandisi...
KATIBU MKUU NISHATI AKUTANA NA WAFANYAKAZI
๐ Ahimiza umuhimu wa ushirikishwaji wa Wafanyakazi
๐ Awataka Wakuu wa Idara na Vitengo kutoa fursa kwa Maafisa
๐ Asisitiza motisha kwa wanaofanya vizuri
๐ Dk. Mataragio...
VYOMBO VYA HABARI SIO MSHINDANI WA SERIKALI:DK. SAMIA
Dar es Salaam
RAIS Dk. Samia suluhu Hassani amesema kuwa vyombo vya habari sio mshindani wa serikali bali ni mdau na ni mshiriki muhimu...
KATIBU MKUU DK. ABDALLAH AHIMIZA WANAHABARI KUTILIA MKAZO TAARIFA ZA BRELA KUHAMASISHA URASIMISHAJI BIASHARA
Morogoro
KATIBU Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dk. Hashil Abdallah amewahimiza waandishi wa habari kupitia kalamu zao na vipaza sauti kusaidia katika kuhakikisha...
DK.MPANGO AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA TAASISI YA UWEKEZAJI YA UINGEREZA (BII)
Dodoma.
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kimataifa ya...