BARUTI NI HATARI USIHIFADHI KWENYE JOTO, MOTO UMEME AU MOTO WA GASI
Dodoma
BARUTI haitakiwi kuhifadhiwa kwenye makazi ya watu kwasababu inaweza kuripuka kwa moto, joto, tayari moto wa gasi au umeme.
Hayo yamesemwa na Mhandisi Mgodi...
MAJALIWA: MIPANGO NA MAAMUZI YA MAENDELEO IZINGATIE MATOKEO YA SENSA
Dar es Salaam
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watendaji wote wanaohusika na sera na mipango katika Serikali Kuu, Tawala za Mikoa na Serikali za...
MAJALIWA:KUZINDUA MIFUMO YA KIDIGITALI YA UWAJIBIKAJI NA USIMAMIZI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 23, 2024 atazindua Mifumo ya Kidijitali ya Uwajibikaji na Usimamizi wa Utendaji Kazi katika Utumishi wa Umma iliyosanifiwa...
RAIS DK.SAMIA AAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dk. John Stephen Simbachawene kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na...
BANDARI YA DAR ES SALAAM YAANZW KUPOKEA MELI KUBWA ZA MIZIGO
Dar es Salaam
BANDARI ya Dar es Salaam imeweka rekodi kwa kupokea meli kubwa ya mizigo yenye urefu wa mita 294.1 tofauti na meli ambazo...
WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA...
Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika Siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika Viwanja vya Chinangali...
BALOZI NCHIMBI AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA TIXON NZUNDA SONGWE
Songwe
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, leo ameongoza maelfu ya waombolezaji wakiwemo viongozi na wananchi kutoka maeneo mnalimbali...
TANZANIA NA GUINEA BISSAU KUSHIRIKIANA KUKUZA UCHUMI WA BULUU NA KILIMO CHA KOROSHO
Dar es Salaam
RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Guinea Bissau zina mambo mengi ya kushirikiana katika kukuza uchumi wa buluu na kilimo...
UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA KUANZA JULAI, 20 2024 KIGOMA.
Kigoma.
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kusogezwa be mbele kwa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura hadi...