DK. MWINYI AKUTANA NA UONGOZI WA TAASISI YA BIG WIN

Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka Taasisi ya Big Philanthropy ya Uingereza kushirikiana na...

SERIKALI YASITISHA ZOEZI LA UKAGUZI WA RISITI ZA EFD KARIAKOO

Dodoma SERIKALI imesitisha zoezi la ukaguzi wa risiti za Kielekroniki (EFD) na ritani za kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT), iliyokuwa ikifanywa na Mamlaka...

MAHIMBALI APOKEA TAARIFA MAENDELEO YA MRADI WA DHAHABU NYANZAGA

Mwandishi wetu@Lajiji Digital KATIBU Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali amepokea taarifa ya maendeleo ya mradi wa uchimbaji mkubwa wa madini ya dhahabu wa...

MAENEO SABA YAZINGATIWA UKAGUAJI WA MAGARI YA WANAFUNZI MWANZA.

Mwanza JESHI la Polisi Mkoani Mwanza limezindua kampeni ya wiki moja ya ukaguzi wa magari yanayotoa huduma za usafirishaji wa wanafunzi katika shule za...

MATUMIZI YA KIDIGITILI MASHULENI KWENDA KURAHISISHA UFUNDISHAJI

Na Magrethy Katengu- Dar es salaam SEKTA ya Elimu inatakiwa kuja na mikakati mizuri ya Tehama ili kusaidia weledi wa ufundishaji kwa kuangalia mabadiliko...

DK. MWINYI AKIONGOZA KIKAO CHA KAMATI MAALUM ZANZIBAR

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya...

DK. BITEKO AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA MODERN INDUSTRIAL PARK

📌 Asisitiza Serikali itaendelea kushirikiana na wawekezaji Dodoma NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa...

NCAA YAZITAKA BAADHI YA TAASISI KUACHA UPOTOSHAJI KUHUSU WANANCHI WANAOHAMA KWA HIARI NGORONGORO.

Ngorongoro MAMLAKA ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imezitaka baadhi ya taasisi na mashirika yasiyo ya kiserikali kutoka ndani na nje ya nchi...

TAASISI ZA UMMA ZITUMIE MIFUMO YA KIDIJITALI – WAZIRI MKUU

*Azindua mifumo minne ya kidijiti Serikalini Dodoma WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za umma ziweke mipango madhubuti ya kutumia mifumo ya kidijitali ambayo italeta...