HALMASHAURI KUU TAIFA CCM IMEFANYA MADILIKO

Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imekutana leo Aprili,3 jijini Dar es Salaam katika kikao chake maalum,chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais...

TRENI YA MCHONGOKO YAWASILI NCHINI.

Na Mwandishi wetu @Lajiji Digital HISTORIA nyingine imeandikwa nchini mara baada ya kuwasili kwa seti ya kwanza ya vichwa vya mchongoko vya treni ya...

WAZIRI MKUU: MAPATO YA NDANI YAFIKIA TRILIONI 17

*Ahimiza utoaji wa risiti halali za kielektroniki Na Mwandishi wetu, Dodoma WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kati ya Julai, 2023 na Januari, 2024 Serikali...

TANZANIA YAPONGEZWA USIMAMIZI RASILIMALI MADINI, MAFUTA NA GESI ASILIA

Na Mwandishi wetu,@Lajiji Digital 📌Dk. Biteko akutana na Mwenyekiti wa Bodi ya EITI ya nchini Norway 📌Ushirikiano wa EITI na TEITI kuimariswa NAIBU Waziri Mkuu na...

RAIS SAMIA AZINDUA TUME YA ULINZI WA TAARIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan akigusa screen ya iPad kuashiria uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja...

DERMAK KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUTOKANA NA UONGOZI WA DK.SAMIA

Na Mwandishi wetu @Lajiji Digital Serikali ya Tanzania na Denmark zimekubaliana kushirikiana katika maeneo ya Elimu,Afya Biashara, Uwekezaji, Nishati pamoja na utunzaji wa mazingira...

TARURA KAGERA YAFUNGUA BARABARA MPYA KM. 826

Na Mwandishi wetu, Kagera WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Kagera imefanikiwa kufungua mtandao wa barabara mpya wa kilometa 826 katika...

WAZIRI MKUU AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MWAKA 2024.

Na Mwandishi wetu, Kilimanjaro WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kuepuka matumizi ya Dawa za Kulevya kwani yanaharibu nguvukazi ya Taifa hasa...

GAVANA TUTUBA AMESEMA DOLA SIO CHANGAMOTO YA TANAZANIA PEKEE NI LA DUNIA.

Na Mwandishi wetu @Lajiji Digital GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba amesema suala la dola sio changamoto ya Tanzania pekee ni...

NAIBU WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA

Na Mwandishi wetu, Dodoma NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akifuatilia masuala mbalimbali yanayoendelea katika Kikao cha Kwanza cha...