DK. NCHEMBA AONGOZA MAWAZIRI WENZAKE KATIKA KIKAO NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA...

Dodoma Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amewaongoza Mawaziri wenzake Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII ANAYESHUGHULIKIA UTALII AMETEMBELEA MABANDA MBALIMBALI...

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii (anayeshughulikia Utalii), Nkoba Mabula leo Julai mosi 2024 ametembelea mabanda mbalimbali ya wizara hiyo yaliyopo kwenye...

KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA DK.NCHIMBI

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete amefanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi leo...

DOYO AKATA RUFAA AKIDAI UCHAGUZI, UMEKIUKA KATIBA

Dar es Salaam. ALIYEKUWA mgombea wa nafasi ya uwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Doyo Hassan Doyo amekata rufaa kwenye kamati...

CAG ATOA KONGOLE KWA PPAA

Dar es Salaam MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere ameipongeza Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) kwa...

CAG KICHERE AMETOA RAI KWA WANANCHI KUTEMBELEA MAONESHA YA 48 SABA SABA

Leah Choma@ Lajiji Digital MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) Charles kichere ametoa rai kwa wananchi kutembelea maonesho ya 48 ya biashara...

SERIKALI KUWANUSURU KIUCHUMI WARAIBU WA DAWA ZA KULEVYA – MAJALIWA

Azindua Sera ya Taifa ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Mwanza WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameziagiza Wizara za Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ofisi ya...

MCHUNGAJI MSIGWA AHAMIA CCM.

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mchungaji Peter Msigwa amekihama chama hicho na kuhamia...

RAIS WA MSUMBIJI ANATARAJIWA KUFANYA ZIARA YA SIKU NNE TANZANIA NA KUFUNGUA MAONYESHO YA...

Dar es salaam TANZANIA inatarajiwa kupokea Ugeni wa Rais wa Msumbiji Philip Jacinto Nyusi ambaye atawasili kwa ziara yake ya siku nne kuanzia Julai 1hadi...