WIZARA YA NISHATI YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA DAR ES SALAAM
📌 Yatoa huduma moja kwa moja kwa Wananchi kupitia Taasisi zake
📌 JNHPP yawa kivutio kikubwa kwa wananchi
Dar es Salaam
WIZARA ya Nishati pamoja na...
SERIKALI IMEJIDHATITI KUJA NA UWEKEZAJI WA UTALII IKOLOJIA
Dar es Salaam
SERIKALI kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imedhatiti kuja na uwekeza wa utalii wa ikolojia kupitia misitu kwa sababu ya uwepo...
HAZINA HUTOA PENSHENI KWA WASTAAFU WASIOCHANGIA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
Na. Peter Haule, Dar es Salaam
OFISI ya Pensheni ya Hazina iliyo chini ya Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali inajukumu la kulipa mafao ya...
RAIS DK.SAMIA AMPOKEA RAIS NYUSI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais wa Msumbiji, Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili...
NAIBU WAZIRI KAPINGA ATAKA KASI YA UUNGANISHAJI UMEME USHETU IONGEZEKE
📌 Asisitiza utunzaji wa miundombinu ya umeme
📌 Kijiji cha Sunga wilayani Ushetu kupata umeme ndani ya siku Tisa
SHINYANGA
NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga...
KIPANGA AZINDUA ZANA BORA ZA KILIMO ZINAZOTENGENEZWA NA WAZAWA IMARA TECH.
ARUSHA.
NAIBU Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omar Juma Kipanga (Mb) amezindua zana bora za kilimo zilizotengenezwa na Kampuni ya wazawa ya IMARA TECH,...
MAENDELEO YA MRADI WA JULIUS NYERERE YAVUTA HISIA ZA WENGI SABA SABA
Dar es Salaam
SHIRIKA la Umeme Tanzania,(TANESCO) linashiriki katika Maonesho ya kimataifa ya biashara ya sabasaba kwa mwaka 2024.Maonesho haya yalianza tarehe 28/6/2024 ambapo...
WAZIRI Dk.STERGOMENA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI NYALIKUNGU MAGU, AHAIDI KUCHANGIA MADAWATI
Mwanza
WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Stergomena Lawrence Tax (Mb) Julai, mosi 2024, ametembelea Shule ya Msingi Nyalikungu iliyopo Halmashauri ya...
WANAFUNZI KUTEMBELEA MAKUMBUSHO YA TAIFA SABASABA
Dar es Salaam
WANAFUNZI kutoka mikoa mitano Bara na Visiwani Julai, 5 2024 wanatarajia kutembelea Makumbusho ya Taifa kwa kushirikiana Mamlaka ya Maendeleo ya...
TFS WANANCHI WAJITOKEZE SABASABA ILI WAWEZE KUJIFUNZA VITU MBALIMBALI
Na Leah Choma @Lajiji Digital
WAKALA wa huduma za misitu Tanzania (TFS)Â Kanda ya Mashariki imetoa rai kwa wananchi kujitokeza kwenye banda lao ili...