SERIKALI ITAENDELEA KUSIMAMIA, KUKUZA UADILIFU WA MAADILI – DK. BITEKO

📌Azitaka taasisi za dini kushirikisha Serikali kusimamia maadili 📌Wizara ya Maendeleo ya Jamii Shirikisheni wadau 📌Azitaka taasisi za umma na Serikali kuwa mfano bora kwenye jamii...

WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII,JINSIA,WAZEE NA WATOTO ZANZIBAR YAFANYA ZIARA KIVULINI

Mwanza KATIBU Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na Watoto Zanzibar, Abeida Rashidi Abdallah amesema wanaamini ziara yao ya mafunzo katika shirika la kivulini...

JWTZ KUADHIMISHA MIAKA 60 TANGU KUASISIWA KWAKE SEPTEMBA 1,1964

Dar es salaa SERIKALI ya Tanzania kupitia Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania( JWTZ linatarajia kufanya maadhimisho ya miaka 60 tangu kuasisiwa kwake Septemba 1,...

RAIS DK.SAMIA Na RAIS NYUSI WATEMBEELEA BANDA LA WAZIRI MKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji , Filipe Jacinto Nyusi wakimsikiliza Waziri...

VIJIJI VYOTE TANZANIA BARA KUFIKIWA NA NISHATI YA UMEME KAPINGA

📌 Kata ya Buganzo wilayani Kahama kufikishiwa umeme kabla ya tarehe 5 Julai 📌 Mbunge wa Msalala aishukuru Serikali Kahama NAIBU Waziri wa Nishati, Judith...

MHAGAMA: OFISI YA WAZIRI MKUU IMEJIPANGA KUENDELEA KUHUDUMIA WANANCHI

*Amewataka watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kuendelea kuhudumia wananchi kwa weledi Dar es Salaam SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu imesema itaendelea kuwahudumia wananchi na...

TARURA,TANROADS NA BENKI ya DUNIA WAKAGUA MRADI WA UJENZI WA BARABARA

Iringa MTENDAJI Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff leo Julai, 2 2024 ameshiriki katika ukaguzi wa mradi wa...

MENEJA TRA KIBONDO AKAMATWA NA MENO YA TEMBO

Kigoma JESHI la Polisi Wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma linamshikilia Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Wilayani humo Irving Mutegeki kwa tuhuma...